Dunia inahitaji kuwa na mbabe mmoja tu ili iwe salama. Dunia ya wababe wengi ni hatari sana

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,238
12,753
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.

Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe kwa muda mrefu. Imekuwa hivyo tokea kuumbwa kwa dunia. Mwenye nguvu mpishe.
 
JamiiForums337439522.jpg
 
Dunia haijawahi kuwa chini ya mmiliki mmoja siku zote wababe huwa zaidi ya moja.

Hata mkoloni hakuwa mmoja walikuwa wengi na walikuja wengi na wakatawala wengi
 
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu. Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe kwa muda mrefu. Imekuwa hivyo tokea kuumbwa kwa dunia. Mwenye nguvu mpishe.
Huyo mbabe asiwe muonevu kama huyu aliyopo sasa wa kuegemea upande na kunadi haki za binadam ili hali yeye na mashost zake wanazikiuka kama hazijawahi kuwepo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Wababe wote toka dunia inaumbwa ni waonezi. Hata US ikianguka anayekuja naye atakuwa muonezi. Na hata wameishaanza uonezi China anataka eneo lote la South China Sea liwe lake peke yake. Urusi ameshatuonyesha uonevu wake. Faida ya ubabe ni uonezi.
 
Aje tu mbabe mwengine Americant anataka tupakuane wanaume kwa wanaume aah huyu hafai
 
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.

Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe kwa muda mrefu. Imekuwa hivyo tokea kuumbwa kwa dunia. Mwenye nguvu mpishe.
Unamaana unataka kuwe na supa pawa mmoja mpumbafu kama marekani?
 
Inategemea kama huyo mbabe hana upande na anataka haki kwa kila mmoja kama hawezi kusimamia Haki kwa kila mmoja nae ataondolewa tuu.
 
Back
Top Bottom