Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,645
3,930
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi.

===

1703661261859.png

Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na kundi la Hamas, imeelezwa mbali ya vifo vya mtutu wa bunduki na makombora, pia fangasi wamekuwa tishio kwenye vita hivyo.

Taarifa za hivi punde kutoka gazeti la Times of Israel zinasema mwanajeshi mmoja wa IDF amefariki dunia kutokana na fangasi huko Gaza.

“Mwanajeshi huyo aliletwa katika kituo cha matibabu Assuta Ashdod wiki mbili zilizopita akiwa na majeraha mabaya kwenye viungo vyake.

“Licha ya matibabu aliyoyapata, majeraha yalionekana kuwa sugu kutibika na baadaye askari huyo akafariki dunia,” imeeleza tovuti hiyo.

Hadi sasa takriban wanajeshi 10 wanaaminika kuambukizwa fangasi na wanaendelea na matibabu nchini kwao Israel.

Mkurugenzi wa zamani wa kitengo cha magonjwa ya kuambukiza cha Sheba Medical Center, ameiambia redio ya Kan leo asubuhi kuwa chanzo cha fangasi hao kinaaminika kuwa udongo wa ardhini ambao umechafuliwa na maji taka.

Maambukizi hayo huyapata kupitia majeraha yanayotokana na wanajeshi wanaopigana huko Gaza.

Jeshi la IDF linachunguza kama maambukizi ya fangasi hao yameanzia kwenye mahandaki ya Hamas wakati wa operesheni ya ardhini ama la.

Katika hatua nyingine, Jumuiya ya Magonjwa ya Kuambukiza ya Israeli inatarajiwa kufanya majadiliano ya dharura wiki ijayo na wataalamu wa magonjwa ya milipuko kutoka IDF na Wizara ya Afya.

Hatua hiyo inakuja kutokana na hali ya wanajeshi kuambukizwa magonjwa wakati wa mapigano ya Gaza.

Mpinzani amlaumu Netanyahu

Wakati hayo yakiendelea kuushangaza umma, televisheni ya Al Jazeera imemnukuu kiongozi wa upinzani wa Israel, Yair Lapid akisema Netanyahu 'hawezi kuendelea' kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.

Kiongozi huyo wa upinzani nchini humo, amesisitiza wito wake wa kumtaka Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu kujiuzulu.

“Kubadilisha waziri mkuu katikati ya vita si vizuri, lakini aliye madarakani ni mbaya zaidi. Hawezi kuendelea,” amesema.

Inaelezwa kuwa Lapid amekataa kujiunga na baraza la mawaziri la vita la Netanyahu mwanzoni mwa vita vya Israel na Hamas na amekuwa mkosoaji wa mara kwa mara wa Serikali ya mrengo mkali wa kulia ya Netanyahu.

Mwananchi
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
alhamdullillah, allah anajibu dau zangu!!! but naomba Allah adhihirishe huruma yake kwa waja wake phalestine
 
Huyo alla kawakimbia bro, hana uwezo dhidi ya Mungu wa Wayahudi, siku nyingine epukeni kuchokoza Wayahudi, wale Mungu wao kawalinda tangu enzi zote, miungu ya kila aina ikiwemo alla wenu na mohammed walijaribu kufuta Wayahudi lakini wakaishia kushindwa.

Ona mlivyoachwa

photo_5850536027943452077_y.jpg
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
Jidanganyeni, Israel ndo inaugua peke yake na siyo Palestina kwa ujumla? Maana uwanja wa vita ni mmoja... Hili ni bandiko lenye maudhui ya kidini
 
Hawa ma ustadh ubwabwa ni shida sana yuko tayari kutete ujinga kisa wale ni waarabu ungejua hata huyo allah wa kiarabu hawataki wala usinge leta shobo.Mwarabu ana roho mbaya nyie acheni kabisa
 
SasiMajeshi ya Ufaransa? Au watu? Hapa tunasema majeshi hatusemi raia
Kwani hayo majeshi yanaundwa na mbuzi??majeshi ni watu na hao watu ndio raia wenyewe,,kwani kuna ajabu yoyote MTU/Watu kushambuliwa na fangasi??
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
Hii ni vita ya kidini ama?
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
Mkishaanza kuongea miujiza ujue mmekwisha
 
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal.
Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaid.
Source. Mwananchi media
Mkuu nimeona nikufuate private nikutie moyo. tusichoke kupiga propaganda. Naona wale wenzetu wengine kama wanasinzia. Hii yako nimeipenda mtu anaweza amini. Yaani kama alivyosema ustaadhi Hussen Kunjugula kuwa sisi ambao tupo kwenye mitandao tusiache kutafuta tafuta uzushi na kupost ili kuwafariji wenzetu wanaouawa na Wazayuni huko Palestina. Na mimi nitatafuta tafuta habari za kizushi nipost. Tusiache kusapotiana. Wabbilah tawfiq
 
Habari ya ukweli sio uzushi Sheikh
 
Back
Top Bottom