Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.?
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.
https://www.jamiiforums.com/threads/nimeyatimba-nimesex-na-mtu-mwenye-hiv-ni-kipindi-kigumu-sana-maishani-mwangu.2156809/
Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu...
Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu.
Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s
Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union.
Walikusanyika hapo wakitokea kwenye ofisi ya chama chao iliyokuwa katikati ya uwanja wa wazi nyuma ya...
Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru
Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
Baada ya kuchinjwa kwa huyu dogo hapa chini, je aliyebaki kama mateka wa HAMAS, kuna yeyote anafanya jitihada za kuwabembeleza HAMAS wamuachie? Maana mpaka sasa tunaona wanaachiwa wa Israel, Wamarekani, wa-Thai na mataifa mengine, vipi hatima ya mwana EAC mwenzetu.
Wafia dini kwenye hili...
Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao.
Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
Nov 26, 2023 02:26 UTC
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za
Timu ya wanawake Tanzania
Timu ya Under 21 wanawake Tazania
Timu ya under 17 wanawake Tanzania
Timu ya wanawake Tanzania bara
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.
Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na...
Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023.
===
Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Novemba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta.
Abbah anaeleza aliyefariki ni Nabeel, Kaka wa Dancer @poshboy_yd ambaye yeye...
Narudia tena, hawa jamaa wawili hawawezi kucheza pamoja bila kuruhusu magoli.
Kwanza wanategeana, kila mmoja anataka kuwa wa mwisho.
Pili wote wanaumwa na kujiamini kupita kiasi, wanapenda kupanda mbele kwa ku dribble mipira matokeo yake wakipoteza tu mpira, basi ujue unahesabu kamba golini...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
Mwaka 2023 utakuwa muhimu sana kwa nchi zinazojali ushirikiano wa kimataifa, na mwaka huu utaandikwa katika vitabu vya historia kwasababu nchi zote duniani zilizojiunga na Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotolewa na rais Xi Jinping wa China zinaadhimisha kumbukumbu ya miaka kumi...
Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’.
Likiwa na mtandao mkubwa wa usafiri, nishati, na mawasiliano, unaolenga kuunganisha biashara za baharini na nchi...
Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa pamoja na maendeleo endelevu duniani kote kupitia uratibu imara wa sera, muunganisho, biashara isiyo na...
Tukio hilo limetokea leo Siku ya Jumapili katika kijiji cha Malagarasi kilichopo wilayani Uvinza mkoa wa Kigoma.
Ilikuwa hivi
Polisi walipata habari kuwa katika kijiji hicho wamekuja watu wanaowaumbua wachawi maarufu kama KAMCHAPE hivyo polisi walifika katika kijiji hicho ili kuwazuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.