Kuwa na mpenzi mmoja ni maamuzi na sio upendo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Habari zenu Wakuu,

Ukiona mtu ametulia kwenye mahusiano na hana michepuko wala kutoka nje basi tambua kuwa amefanya maamuzi na sio upendo.

Kama ulikuwa hujui ni kwamba, unaweza kupenda na bado ukapenda kuwa na wengine zaidi (TAMAA).

Ukiona mtu ametulia basi tambua kuwa amefanya maamuzi na sio kwamba wewe umekamilika au unamtosheleza kwa kilakitu.

NB. MUHESHIMU MTU ALIETULIA, MAANA NI BAHATI KUMPATA.
 
Ni maamuzi yanayotokana na upendo.

Kwa jinsi ninavyompenda, nashindwa kabisa kuwa na mwingine kwa kutokutaka kumuumiza.

Huwezi kutenganisha kutulia katika mapenzi na upendo.
 
Ni maamuzi yanayotokana na upendo.

Kwa jinsi ninavyompenda, nashindwa kabisa kuwa na mwingine kwa kutokutaka kumuumiza.

Huwezi kutenganisha kutulia katika mapenzi na upendo.
Sio kweli Mkuu, ni uamuzi tu ndio umefanya.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom