Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali. Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake. Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe. Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa. Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Kuandika kwenyewe hujui,maudhui tafrani...anyway,Mungu mwenyewe unayemsemea ni yesu au!?..Kama yesu huyo usimuogope,alitolewa nduki na watu wenye nyundo na misumari
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Mambo yanaazaga hivi hivi kimzaha mzaha
 
Kuandika kwenyewe hujui,maudhui tafrani...anyway,Mungu mwenyewe unayemsemea ni yesu au!?..Kama yesu huyo usimuogope,alitolewa nduki na watu wenye nyundo na misumari
Kampuuza HUYU Mungu anae Apia Kwa Aliyeumba Dhakari na kile cha like!

Surat Al-Lail
Ayah: 1
وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَىٰ
Naapa kwa usiku unapo funika!
Naapa kwa usiku kinapo enea kiza chake!

Ayah: 2
وَٱلنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
Na mchana unapo dhihiri!
Na naapa kwa mchana unapo zagaa mwangaza wake!

Ayah: 3
وَمَا خَلَقَ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ
wama khalaq ٱldhakar walununthaa!

Na kwa Aliye umba kiume na kike!

NYUMBA yako ya vioo unaanzisha mchezo wa kurushiana make
 
Kuandika kwenyewe hujui,maudhui tafrani...anyway,Mungu mwenyewe unayemsemea ni yesu au!?..Kama yesu huyo usimuogope,alitolewa nduki na watu wenye nyundo na misumari
Jiangalie, Masiha Kristo siyo mtani wako. Dhihaka dhidi ya masiha Kristo, nafsi ya Mungu, usidhani unamkera binadamu yeyote, bali tambua unajitengenezea hukumu.

'Nimepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni'

'Yakobo umekuwa nami siku zote, hujamwona Baba? Hujui kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba? Ukiniona mimi, umemwona Baba'

Yatafakari maneno haya.
 
Back
Top Bottom