Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Ndo hivyo jamani!

Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi.

Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja na darasa la nne na la saba (ambao wanasoma sana kutokana na kukabiliwa na mitihani) kwa siku mbili (Jumamosi na Jumapili) hadi Jumatatu ili mafunzo yaendelee, wakafunga shule jioni na kutawanyika.

Kumbe Jumamosi afisa elimu msingi kutoka halmashauri (manispaa) alifanya ziara ya ufuatiliaji na kufika shuleni hapo bila kuwakuta wanafunzi wala walimu akafura si mchezo. Akamuagiza chawa wake (afisa elimu kata) amuambie huyo mwalimu mkuu afike ofisini kwake saa mbili kamili siku ya Jumatatu (leo) akiwa na maelezo kamili ya kwanini watoto hawakuwepo shule siku hiyo. Maagizo yakaendelea kuwa kabla ya kwenda huko Jumapili afike kwanza kwa afisa elimu kata nako ate maelezo. La jumapili limepita na sasa mwalimu yupo ofisini kwa afisa elimu anatoa maelezo, imelazimu aache kufundisha kwa leo.

Jinsi anavyosafiri:
Kwa kutumia kamshahara kake

Status ya shule:
1. Wanafunzi 700+ (kuna awali na maalum)
2. Walimu 7 tu
3. Ebm kwa mwezi 300,000

Hali halisi ya maandalizi ya mitihani:
Drs la 4 na 7 wanasoma hadi saa 12 kila siku tangu mwaka huu uanze (nina mtoto darasa la saba hapo). Hakuna mchango, walimu wanajitolea tu.

Inavyokuwa misafara ya maafisa elimu:
1. Wanawekewa mafuta (ufuatiliaji)
2. Wanalipwa posho (ufuatiliaji)

😡😡😡
Hivi kitatokea nini ikiwa siku moja kuna mwalimu akatoa somo kwa kumchaanga makofi afisa elimu fulani kisha kumfungia store ya shule hadi atakapofuatwa na mkurugenzi wake au vyombo vya usalama? Inakera sana.

Muwe na asubuhi njema!
 
Ndo hivyo jamani!
Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi.

Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja na darasa la nne na la saba (ambao wanasoma sana kutokana na kukabiliwa na mitihani)) kwa siku mbili (Jumamosi na Jumapili) hadi Jumatatu ili mafunzo yaendelee......wakafunga shule jioni na kutawanyika.

Kumbe Jumamosi afisa elimu msingi kutoka halmashauri (manispaa) alifanya ziara ya ufuatiliaji na kufika shuleni hapo bila kuwakuta wanafunzi wala walimu.....akafura si mchezo. Akamuagiza chawa wake (afisa elimu kata) amuambie huyo mwalimu mkuu afike ofisini kwake saa mbili kamili siku ya Jumatatu (leo) akiwa na maelezo kamili ya kwanini watoto hawakuwepo shule siku hiyo. Maagizo yakaendelea kuwa kabla ya kwenda huko Jumapili afike kwanza kwa afisa elimu kata nako ate maelezo. La jumapili limepita na sasa mwalimu yupo ofisini kwa afisa elimu anatoa maelezo......imelazimu aache kufundisha kwa leo.

Jinsi anavyosafiri:
Kwa kutumia kamshahara kake

Status ya shule:
1. Wanafunzi 700+ (kuna awali na maalum)
2. Walimu 7 tu
3. Ebm kwa mwezi 300,000

Hali halisi ya maandalizi ya mitihani:
Drs la 4 na 7 wanasoma hadi saa 12 kila siku tangu mwaka huu uanze (nina mtoto darasa la saba hapo). Hakuna mchango, walimu wanajitolea tu.

Inavyokuwa misafara ya maafisa elimu:
1. Wanawekewa mafuta (ufuatiliaji)
2. Wanalipwa posho (ufuatiliaji)

Hivi kitatokea nini ikiwa siku moja kuna mwalimu akatoa somo kwa kumchaanga makofi afisa elimu fulani kisha kumfungia store ya shule hadi atakapofuatwa na mkurugenzi wake au vyombo vya usalama?!!!!!!
Inakera sana!

Muwe na asubuhi njema!
Hata wewe mtoa post, ukivaa suruali ya kitambaa na shati ukafika shule ya msingi unawapiga biti walimu na wananywea

Kifupi hawajielewi hao
 
Katika moja ya kero ya shule za serikali ni wanafunzi kuzurula shuleni bila kupumzika kwa kisingio cha masomo ya ziada. Yaani wanafunzi wanaenda shule mwalimu anawakabidhi kitabu waandike notisi halafu yeye anasepa.
Waziri husika kama unaona likizo hazina maana basi zifutwe
 
Ndo hivyo jamani!
Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi.

Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja na darasa la nne na la saba (ambao wanasoma sana kutokana na kukabiliwa na mitihani)) kwa siku mbili (Jumamosi na Jumapili) hadi Jumatatu ili mafunzo yaendelee......wakafunga shule jioni na kutawanyika.

Kumbe Jumamosi afisa elimu msingi kutoka halmashauri (manispaa) alifanya ziara ya ufuatiliaji na kufika shuleni hapo bila kuwakuta wanafunzi wala walimu.....akafura si mchezo. Akamuagiza chawa wake (afisa elimu kata) amuambie huyo mwalimu mkuu afike ofisini kwake saa mbili kamili siku ya Jumatatu (leo) akiwa na maelezo kamili ya kwanini watoto hawakuwepo shule siku hiyo. Maagizo yakaendelea kuwa kabla ya kwenda huko Jumapili afike kwanza kwa afisa elimu kata nako ate maelezo. La jumapili limepita na sasa mwalimu yupo ofisini kwa afisa elimu anatoa maelezo......imelazimu aache kufundisha kwa leo.

Jinsi anavyosafiri:
Kwa kutumia kamshahara kake

Status ya shule:
1. Wanafunzi 700+ (kuna awali na maalum)
2. Walimu 7 tu
3. Ebm kwa mwezi 300,000

Hali halisi ya maandalizi ya mitihani:
Drs la 4 na 7 wanasoma hadi saa 12 kila siku tangu mwaka huu uanze (nina mtoto darasa la saba hapo). Hakuna mchango, walimu wanajitolea tu.

Inavyokuwa misafara ya maafisa elimu:
1. Wanawekewa mafuta (ufuatiliaji)
2. Wanalipwa posho (ufuatiliaji)

😡😡😡
Hivi kitatokea nini ikiwa siku moja kuna mwalimu akatoa somo kwa kumchaanga makofi afisa elimu fulani kisha kumfungia store ya shule hadi atakapofuatwa na mkurugenzi wake au vyombo vya usalama?!!!!!!
Inakera sana!

Muwe na asubuhi njema!

Ajira ni utumwa
 
Hawajitambui tu,huwezi niambia mie kufundisha siku za wikiendi hata angekuja mkuu wa mkoa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Mkuu ana posho ya madaraka sh250,000 mbona hujaisema?
 
Back
Top Bottom