Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,073
Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival!

Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata kushinda Diamond mwenyewe na amekuwa akiwahamasisha wengi kufanya uwekezaji!

Lakini mara nyingi inasemwa uwekezaji mzuri ni ule unao onesha kulipa au ambao utalipa baadae kidogo….Ukweli ni kwamba Tamasha la wasafi haliwezi kumzalia matunda ya uwekezaji anaofanya zaidi atakachopata zaidi ni kupata sifa kwenye mitandao tuu basi lakini Wasafi hawawezi rudisha anacho wekeza kwenye maandalizi ya show yake!

Kilichonifanya nione hatumii akili ni kitendo chake cha hivi karibuni kuanza kulalamika kupata hasara kwenye baadhi ya show zake kushindwa kufanyika alivyotaka kwani mahitaji yake yamekuwa makubwa na hayaendani na mazingira…..
Juzi hapa amelalamika kupata hasara zaidi ya Million 70 uko mbeya akitengeneza ziwa la kupitisha boat…
Sasa show ambayo mtu analipwa

Million 4 anawekezaje million 70?

Hizi ni akili za wapi?

Hata kama anaona mbali bado Tamasha hili haliwezi kurejesha million 70 aliyowekeza hapo kama ni kweli!
Investiment anayofanya kwenye hizi show hata Diamond hafanyi kwakuwa mwenzie anatumia akili zaid zaidi kuliko kutafuta sifa tuu…

RayVany uwezekaji anaofanya kwenye hili tamasha angekuwa anaufanya kwenye show anazoalikwa kufanya nje ya nchi kuliko kupoteza hela kwenye matamasha ambayo hayawezi kumrejeshea pesa zake!
IMG_1022.png
IMG_1021.png
 
sikubaliani na wewe Leak mtoa mada hiyo show ya Wasafi festival inatazamwa sio tu Tanzania mpaka nchi za nje ya nchi na hii imesibitisha baada ya kutokea mjadala nigeria kitendo cha diamond kuingia na jeneza kwenye stage baadhi ya wasanii wakubwa wa nigeria kama burna boy wakatoa maoni yao.Kwa maana hiyo anachofanya Rayvanny kinaonwa na wengi kitaanza kumlimpa hapo baadae kupata shows nyingi sio lazima iwe Wasafi festival pekee
 
Nafikiri tatizo Hana management..
Wasanii Tz wanajiongoza wenyewe...
Hawana management...na wataalam WA kuwashauri ..kama wanao basi uwezo wa hao washauri ni very questionable...
Burnaby mamake mzazi ndo meneja wake ...Usher Raymond hivyo hivyo...
 
Milioni 70 kwa ajili ya kusherehesha jukwaa tuu 🤔🤔 alafu wakiumwa wanaanza kutia huruma kwa sisi akina kajamba nani tuwasaidie 🤔🤔 milioni 70 ya nyokoooooo pumbavu zake kabisa
Angekuwa karibu alitakiwa ale ngumi kama hiyo ya kwenye avatar yako
 
Nimeona kwenye wasafi festival wasanii wengi wamekua na mbwembwe za kuja kitofauti .... afu cha ajabu mapokeo ya nashabiki hata sio kiivo


Angalia wasanii kama Lavalava,Mejakunta na mzee wa bwax hawana mbwembwe nyingi ila wanakiamsha vibaya mnoo
 
Back
Top Bottom