Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,131
Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla

Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

Kundi la Pili
Hili ni lile Kundi ambalo linampigania Kocha Mkuu Roberto Oliveira linaloongozwa na Kibu Denis,ila linachukiwa na Wachezaji wenzao akina Chama na huyo Kiongozi Mmoja mkubwa tu.

Kundi la Tatu
Hili ni Kundi Vuguvugu ( kote kote lipo lenye Unafiki mwingi ) linaloongozwa na Saido Ntibanzokinza na lina Kiongozi Wao mwingine ambaye ndiyo Bingwa wa Kuwaroga Wachezaji wa Kigeni ambaye kaletewa sasa Mbabe wake Mwarabu apambane nae.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa za GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Wengineo ( Watangazaji na Wachambuzi ) wa Michezo Tanzania hii mlikuwa hamna na Mimi ndiyo wa Kwanza nawaletea hapa JamiiForums hivyo mkiiga hii na kuitumia msisahau kunitaja Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE na huu Mtandao pemdwa wa JamiiForums sawa?

Na kuwaonyesheni kuwa Mfalme nimeingia Chimbo kutoka Jana hadi Mchana huu ni kwamba kaeni tayari kuanzia Saa 4 Kamili leo Usiku hapa hapa JamiiForums nitakuja na Exclusives nyingine Mbili za Kuihusu Simba SC hivyo wekeni Mabando ya kutosha na msikae mbali na JamiiForums na Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE Mimi sawa?
 
Timu yenu hakuna anaye ihujumu hivyo ndivyo ilivyo ata mu mlete kocha mpya hakutakua na mabadiliko.

Timu ukisha ikosea kwenye msingi ( usajili) mhanga wa kwanza lazima awe kocha. Timu yenu haina balance.

Na kuifahamu ilo inatakiwa wanao sajili wawe wana ufahamu mpira sio kumwachia Mangungu.
 
Mimi japo yanga sipendi simba idhoofishwe,kwani ni hasara kwa mpira wa tanzania.

Makundi ni hatari mno na pia viongozi wakijiingza kupigana vita basi timu haifiki mbali
 
Kocha Ameishiwa Mbinu Bhana huyo Chama Unayesema Anamuangusha Kocha Ndiye Aliyefunga Mabao Mawili Away yaliyotusaidia kuingia Makundi
Subiria Exclusives zangu zingine Mbili baadae ndiyo utajua kuwa hakuna Ukijuacho, sibahatishi kwa Taarifa na kuna Janga moja la Kutugawa kabisa Simba SC linakuja.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Takataka tu
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Hatudanganyikiiiiiii....
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla

Kundi la Kwanza
Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

Kundi la Pili
Hili ni lile Kundi ambalo linampigania Kocha Mkuu Roberto Oliveira linaloongozwa na Kibu Denis,ila linachukiwa na Wachezaji wenzao akina Chama na huyo Kiongozi Mmoja mkubwa tu.

Kundi la Tatu
Hili ni Kundi Vuguvugu ( kote kote lipo lenye Unafiki mwingi ) linaloongozwa na Saido Ntibanzokinza na lina Kiongozi Wao mwingine ambaye ndiyo Bingwa wa Kuwaroga Wachezaji wa Kigeni ambaye kaletewa sasa Mbabe wake Mwarabu apambane nae.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa za GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na Wengineo ( Watangazaji na Wachambuzi ) wa Michezo Tanzania hii mlikuwa hamna na Mimi ndiyo wa Kwanza nawaletea hapa JamiiForums hivyo mkiiga hii na kuitumia msisahau kunitaja Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE na huu Mtandao pemdwa wa JamiiForums sawa?

Na kuwaonyesheni kuwa Mfalme nimeingia Chimbo kutoka Jana hadi Mchana huu ni kwamba kaeni tayari kuanzia Saa 4 Kamili leo Usiku hapa hapa JamiiForums nitakuja na Exclusives nyingine Mbili za Kuihusu Simba SC hivyo wekeni Mabando ya kutosha na msikae mbali na JamiiForums na Mfalme wa Taarifa GENTAMYCINE Mimi sawa?

Chama anahujumu timu kivipi?. Juzi kafunga magoli mawili kule ndola.
 
Back
Top Bottom