mlango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mwanzo: Katika kubariki nitakubariki, na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na kwako watatoka watawala!

    Biblia siyo maneno ya hadithi pekee. Ni Neno la kweli na lenye pumzi ya Mungu! Tangu kuwapo kwa ahadi hizo kwa Ibrahimu mpaka leo na hadi kiama, bado Neno la Mungu limeendelea kuthibitisha hayo. Ahadi hizo, ni kwa wazao wa baba wa Imani Ibrahimu na wafuasi wa kweli wa huyu Mungu JEHOVAH. Kwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Maguha: Takwimu zinaonesha Saratani ya Mlango wa Kizazi inasumbua Wanawake wengi ikifuatiwa na Saratani ya Matiti

    Katika kuhakikisha elimu inawafikia watu wengi zaidi kuhusu Ugonjwa wa Saratani, Taasisi ya Ocean Road imeanza Kampeni ya kutembelea Hospitali za Rufaa za Mikoa ili kushirikiana na Wataalam mbalimbali. Dkt. Maguha Stephano ambaye ni Meneja wa Huduma za Kinga anazungumzia kuhusu huduma hiyo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Mlango Wao kila Mtu anapita kwakuwa naturally Unapitika kwanini wakipita Wanne wenye Njaa anaweza Kufa au Kuzimia?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda Wowote na kwa Mzigo wa aina yoyote ile.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Makabati na mlango vinauzwa

    Makabati na mlango vinauzwa bei 1.8m maongezi yapo ukihititaji kimoja pia sawa 0685415869
  6. Wile kadogosa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Saratani ya mlango wa kizazi

    Saratani ya mlango wa kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au seli zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile. Asilimia 99 ya saratani ya shingo ya kizazi...
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Watanzania, huu ni wakati wa kufunga na kuliombea Taifa. Mkataba wa Bandari zetu ni mlango usiopendeza kwa haya yanayoendelea

    Amani iwe kwenu Watanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Je, lifti ikizidiwa uzito inafunga mlango?

    Wajuzi wa mambo naomba kupata ufahamu kidogo, kutokana na suala la lifti kuporomoka Millennium Towers nimeona baadhi ya wadau wakisema lift ikizidisha uzito haifungi wengine wakidai inatoa maelekezo kuwa watu wamezidi na kuwataka kupungua. Je, ni kweli wanaodai hivyo wako sawa? Na kama wako...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  13. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni mlango wa Roho chafu

    Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa. Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya...
  14. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Msaada fundi wa mlango wa Porte Automatic

    Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika. Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali. Shukran za dhati za awali. Cc: Extrovert
  15. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kufungua mlango kwa China kuleta fursa zaidi kwa dunia

    Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

    Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli, Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Zitto sawa wahudumu walifungua mlango, je waliwapa abiria wao maboya?

    Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege. Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
Back
Top Bottom