Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi.

Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi vya UKIMWI.

Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Muuguzi, Rajabu Matembo, wakati wa kongamano linalohusu watumishi wanawake wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila.

Kutokana na hilo jamii imeshauriwa kufanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi mapema ili kuweza kujikinga na ugonjwa huo, kwani ukibainika mapema unaweza kutibiwa na kupona kabisa.

Mkuu wa Idara ya Huduma za Ukunga na Afya ya Mama na Mtoto wa hospitali hiyo, Zuhura Mawona amesema kuwa kutokana na tafiti zilizotolewa GLOBOCAN mwaka 2018 na inaonesha kuwa wanawake 570,000 waliugua saratani ya mlango wa kizazi na kati yao 311,000 walipoteza maisha.

Vilevile amebainisha kuwa mwaka 2018 alifanya utafiti mdogo kwa wauguzi wa MNH na wauguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, ambapo kati ya 323 asilimia 11.8 pekee ndio waliofanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi.

“Ugonjwa huu hauna dalili mtu atakaa nao kwa muda mrefu zaidi na pale anapopata wazo la kwenda kupima baada ya kuona dalili unakuta ugonjwa umeshakua endelevu na mtu anaweza kupoteza maisha na matibabu yake yanakuwa ni gharama zaidi,” amesema.

===============

Pregnancy history

The risk of developing cervical cancer is higher among women who have given birth to three or more children. There are a few potential reasons for the role of pregnancy in cervical cancer risk:

Women who have multiple babies may be more sexually active and therefore more exposed to HPV.
Pregnant women may be more vulnerable to HPV infection or cancer, potentially because of hormonal changes or a weakened immune system.

Age may also be a factor: Women who have a baby before age 20 are at higher risk than those who wait until after 25.

Being sexually active means more than just having intercourse with someone. It can mean:

any genital skin-to-skin contact

having oral sex

All women who have ever been sexually active are at risk for developing cervical cancer. This is because sexual activity potentially exposes you to HPV. Women who have never been sexually active rarely develop cervical cancer.

Becoming sexually active at a young age can increase the risk for cervical cancer. Researchers think this increased risk is because the cervix changes during puberty. These changes make the area more vulnerable to damage.

Certain types of sexual behaviour increase a woman’s risk of infection with HPV. Having intercourse with many partners can increase exposure to HPV, which is transmitted by sexual contact. For this reason, having many sexual partners is linked with a higher risk of cervical cancer. But a woman can have HPV even when she has had only one sexual partner.

Women also seem to be at a higher risk for developing cervical cancer if their male partners have had many sexual partners or female partners with cervical cancer.

Reproductive factors.

Both the use of oral contraceptives (birth control pills) and giving birth to many children are associated with an increased risk of cervical cancer. The reasons for these associations are not well understood.

CANCER CENTER
 
Tumazaliwa 14, Mama huyo huyo, ana miaka 89 leo, na yupo Gado. Theories.
 
Mambo ya kipumbavu haya, wamama wa zamani walizaa watoto wangapi na bado wako heathly, binafsi hapa nilipo tumezaliwa watoto 9 na mama yetu bado anadunda
 
Nyinyi wadada wa siku hizi mnafanya sana ngono na kutoa mimba kibao! Unakuta na mwanamke alishafanya umalaya miaka dahari unamuoa akishazaa mtoto mmoja anaanza changa moto kibao!
Wanawake wajitunze matumizi ya P2 na kemikali za kulaini wakati wa tendo la ndoa linatoa uhalisia wa sehemu ya uke na hali hiyo ndo chanzo cha saratani!
 
WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi.

Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi vya UKIMWI.

Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Muuguzi, Rajabu Matembo, wakati wa kongamano linalohusu watumishi wanawake wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila.

Kutokana na hilo jamii imeshauriwa kufanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi mapema ili kuweza kujikinga na ugonjwa huo, kwani ukibainika mapema unaweza kutibiwa na kupona kabisa.

Mkuu wa Idara ya Huduma za Ukunga na Afya ya Mama na Mtoto wa hospitali hiyo, Zuhura Mawona amesema kuwa kutokana na tafiti zilizotolewa GLOBOCAN mwaka 2018 na inaonesha kuwa wanawake 570,000 waliugua saratani ya mlango wa kizazi na kati yao 311,000 walipoteza maisha.

Vilevile amebainisha kuwa mwaka 2018 alifanya utafiti mdogo kwa wauguzi wa MNH na wauguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, ambapo kati ya 323 asilimia 11.8 pekee ndio waliofanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi.

“Ugonjwa huu hauna dalili mtu atakaa nao kwa muda mrefu zaidi na pale anapopata wazo la kwenda kupima baada ya kuona dalili unakuta ugonjwa umeshakua endelevu na mtu anaweza kupoteza maisha na matibabu yake yanakuwa ni gharama zaidi,” amesema.

===============

Pregnancy history

The risk of developing cervical cancer is higher among women who have given birth to three or more children. There are a few potential reasons for the role of pregnancy in cervical cancer risk:

Women who have multiple babies may be more sexually active and therefore more exposed to HPV.
Pregnant women may be more vulnerable to HPV infection or cancer, potentially because of hormonal changes or a weakened immune system.

Age may also be a factor: Women who have a baby before age 20 are at higher risk than those who wait until after 25.

Being sexually active means more than just having intercourse with someone. It can mean:

any genital skin-to-skin contact

having oral sex

All women who have ever been sexually active are at risk for developing cervical cancer. This is because sexual activity potentially exposes you to HPV. Women who have never been sexually active rarely develop cervical cancer.

Becoming sexually active at a young age can increase the risk for cervical cancer. Researchers think this increased risk is because the cervix changes during puberty. These changes make the area more vulnerable to damage.

Certain types of sexual behaviour increase a woman’s risk of infection with HPV. Having intercourse with many partners can increase exposure to HPV, which is transmitted by sexual contact. For this reason, having many sexual partners is linked with a higher risk of cervical cancer. But a woman can have HPV even when she has had only one sexual partner.

Women also seem to be at a higher risk for developing cervical cancer if their male partners have had many sexual partners or female partners with cervical cancer.

Reproductive factors.

Both the use of oral contraceptives (birth control pills) and giving birth to many children are associated with an increased risk of cervical cancer. The reasons for these associations are not well understood.

CANCER CENTER
Nafikiri kansa, inasababishwa na utaratibu wa maisha yako, vyakula vya kisasa no. 1, pombe za kisasa no. 2, sigara mazingira unayoishi, zamani akina mama walikuwa wnaafanya kazi sana, wanakula vyakula vya asili, hakuna chemicals, wala mbolea za madukani, matunda pori, mboga za porini ndo maana miili yao ilikuwa super, Leo hii vyakula ni madawa tupu hapo lazima upate kansa.
 
WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi.

Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi vya UKIMWI.

Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Muuguzi, Rajabu Matembo, wakati wa kongamano linalohusu watumishi wanawake wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila.

Kutokana na hilo jamii imeshauriwa kufanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi mapema ili kuweza kujikinga na ugonjwa huo, kwani ukibainika mapema unaweza kutibiwa na kupona kabisa.

Mkuu wa Idara ya Huduma za Ukunga na Afya ya Mama na Mtoto wa hospitali hiyo, Zuhura Mawona amesema kuwa kutokana na tafiti zilizotolewa GLOBOCAN mwaka 2018 na inaonesha kuwa wanawake 570,000 waliugua saratani ya mlango wa kizazi na kati yao 311,000 walipoteza maisha.

Vilevile amebainisha kuwa mwaka 2018 alifanya utafiti mdogo kwa wauguzi wa MNH na wauguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, ambapo kati ya 323 asilimia 11.8 pekee ndio waliofanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi.

“Ugonjwa huu hauna dalili mtu atakaa nao kwa muda mrefu zaidi na pale anapopata wazo la kwenda kupima baada ya kuona dalili unakuta ugonjwa umeshakua endelevu na mtu anaweza kupoteza maisha na matibabu yake yanakuwa ni gharama zaidi,” amesema.

===============

Pregnancy history

The risk of developing cervical cancer is higher among women who have given birth to three or more children. There are a few potential reasons for the role of pregnancy in cervical cancer risk:

Women who have multiple babies may be more sexually active and therefore more exposed to HPV.
Pregnant women may be more vulnerable to HPV infection or cancer, potentially because of hormonal changes or a weakened immune system.

Age may also be a factor: Women who have a baby before age 20 are at higher risk than those who wait until after 25.

Being sexually active means more than just having intercourse with someone. It can mean:

any genital skin-to-skin contact

having oral sex

All women who have ever been sexually active are at risk for developing cervical cancer. This is because sexual activity potentially exposes you to HPV. Women who have never been sexually active rarely develop cervical cancer.

Becoming sexually active at a young age can increase the risk for cervical cancer. Researchers think this increased risk is because the cervix changes during puberty. These changes make the area more vulnerable to damage.

Certain types of sexual behaviour increase a woman’s risk of infection with HPV. Having intercourse with many partners can increase exposure to HPV, which is transmitted by sexual contact. For this reason, having many sexual partners is linked with a higher risk of cervical cancer. But a woman can have HPV even when she has had only one sexual partner.

Women also seem to be at a higher risk for developing cervical cancer if their male partners have had many sexual partners or female partners with cervical cancer.

Reproductive factors.

Both the use of oral contraceptives (birth control pills) and giving birth to many children are associated with an increased risk of cervical cancer. The reasons for these associations are not well understood.

CANCER CENTER

Utafiki wa kibwege huu
 
Back
Top Bottom