mlango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acehood

    JamiiForums Tanzania Sink la choo kuelekezwa upande wa mlango

    Wakuu hivi huu mfumo umekaa kitaalamu au ni mazoea tu, sink kuelekezwa upande wa mlango. Vyoo vingi hujengwa hivyo na kuna watu sio wastaarabu akimaliza haja hamwagi maji kuondoa mikojo kwenye floor. Hii kitu inafanya mazingira ya choo kuwa mabaya kwa mtumiaji mwingine kuanza kukanyaga mikojo...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mlango wa nje unatakiwa kufungukia nje au ndani?

    Tumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani. Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

    Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio...
Back
Top Bottom