mkopo

  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hili la Bodi ya mkopo wa elimu ya juu SMT na SMZ

    Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  3. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Habari za leo wadau, Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo: Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10. Mimi sio mtu wa biashara na pia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China kupunguza mkopo kwa Afrika si picha kamili ya ushirikiano kati ya pande mbili

    Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ndege za mkopo na ndege za kununua taslimu, ni zipi zenye kuongoza faida kibiashara? Serikali chukueni ushauri wa wasomi hapa!

    Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business. Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash. Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
  6. Uda

    JamiiForums Tanzania Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

    Katika uislamu mkopo si jambo la heri. Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai?? Tutafakari
  7. J

    JamiiForums Tanzania Makato ya mkopo lazima yamuache Mfanyakazi na kiasi kinachomtosha kujikimu

    Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake Sheria ya Kurejesha Madeni ya mwaka 1970, mfanyakazi hatakiwi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake ghafi...
  8. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuelekeza kero ya namna ya ukusanyaji kodi, Lakini sijasikia kero ya Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu

    Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016. Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
  9. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali wanaJF, maji yamezidi unga

    Habari zenu ndugu wana JF, Ndugu zangu nimepata na matatizo ambayo yanahitaji kuyatatua kwa uharaka,ninahitaji Mkopo wa Milioni 1. Mkopo nitarejesha ndani ya miezi 2 kwa awamu 2,nitafurahi kama nitapata kwa riba ya 10%-15% kwa mwezi. Dhamana niliyonayo ni mshahara wangu wa kila mwezi.
  10. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Tunatoa mkopo karibuni

    Habari, Vigezo tajwa hapo chini ni muhimu karibu,
  11. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa taratibu za kufuata endapo mwanafunzi ambaye ni mnufaika wa mkopo na ambae ameshasajiliwa chuo kingine kama anaweza kuomba upya

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
  12. Dedan j Dedan

    JamiiForums Tanzania Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena?

    Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

    Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache madaktari wafurahie taaluma yao kwa uhuru. Kuna madaktari wangapi wapo mtaani why unahangaika na huyu Dr...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Riba ya Mkopo

    Wasomi naomba kuelimishwa. Kisheria, hasa sheria ya fedha imekaaje? Je, kuna kiwango elekezi cha riba ambacho mkopeshaji anatakiwa asivuke? Na je, Kila mtu anaweza akaanzisha utaratibu wa kukopesha mtaani na kuwa na riba aliyoamua na mbele ya sheria akawa Yuko sahihi?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

    Baada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili [emoji116][emoji116][emoji116] Watu mbalimbali wamehoji kwa nini Watumishi wanapoidai Serikali hakunaga hiyo 'Rentetion fee'?
  16. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Loan Calculator ya HESLB ina kasoro gani? Huyu mnufaika Loan Board anadaiwa mkopo wa karibu Bilioni 48!

    Hebu kila mtu atazame kwa umakini Risiti ya Mshahara (Salary Slip) ya mtumishi huyu (Mwalimu) aliyesoma kwa pesa za bodi ya mikopo - HESLB... Ni mjadala unaoendelea ktk group moja la WhatsApp huko na hiki ni kilio cha mwalimu huyu ambaye sasa yuko very frustrated na hajui afanyeje ku - overturn...
  17. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanafunzi aliyepata Mkopo kupitia dirisha la kuappeal na hv sasa amesign na kupata Boom?

    Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa. So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom. Maana...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliokua wanufaika wa mkopo kutoka HESLB

    .
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nina hitaji mkopo wa milioni moja na nusu

    Mimi ni mfanyabiashara mdogo ambae bado sijafikia level ya kukopesheka benki. Nina shida ya mkopo wa milioni moja na nusu ili niweze kukuza biashara yangu. Dhamana niliyonayo ni hati ya mauziano ya kiwanja na kadi ya gari. Napatikana iringa, naombeni mkopo wadau
  20. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Nataka chukua mkopo benki

    Habari, nimehitimu chuo(Lingusitic teacher) ninawazo lakufungua photo na local video production (Songea) Nataka ingia bank omba mkopo (3mil.) kwaajili ya printer navifaa vingine. Camera nacomputer ninavyo tayari. Mnishauri wakuu, maana dhamana nataka weka hati ya nyumba ya urithi lenye eneo...
Back
Top Bottom