Kuna mwanafunzi aliyepata Mkopo kupitia dirisha la kuappeal na hv sasa amesign na kupata Boom?

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,525
Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.

So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.

Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.

Karibuni
 
subiri mkuu utaingiziwa yote mawili kwa pamoja, usiwe na haraka
 
Appeal ya bodi ya mikopo imetoka tokea tarehe 24 lakini wamesema tu ni watu 2000 lakini hakuna pdf ya majina sasa mtu atajuaje km kapewa?

Pili wanasema watu wachek kwa account zao akaunt zipo empty kwa kila mmoja hakuna notifications zozote zile wala taarifa yoyote ile haionekani hapa kila mtu analalamika

Kuna mnaosema mshajua mmepata au mmekosa kwenye hii rufaa ya bodi yaani appeal window vipi mmefahamu vipi?

Nambieni
Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.

So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.

Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.

Karibuni
 
Leteni mrejesho wadau.. Mambo yamesoma huko vyuoni..?

Wale wa Batch 4 Appeal
 
Naamini hata mwaka Jana kuna wanafunzi walipata mikopo baada ya kuappeal waje walete uzoefu wao hapa inakuwaje hii issue
 
Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.

So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.

Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.

Karibuni
Mkuu, kwani boom limetoka?
 
hongera sana mkuu kama umekua allocated....utapata tyuu sema kwa kuchelewaaa
 
Back
Top Bottom