Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah
======
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
Habari wana jf,
Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?
Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu?
Nawasilishà.
#jEshi.
June 10 bodi ya wakurugenzi wa shirka la fedha Duniani na Bank ya Dunia kuamua iwapo tunastahili kupewa msamaha na mkopo kupambana na corona au laa.
Mwezi April IMF na WB walitengeneza kitu kinaitwa Catastrophe Containment and Relief Trust ili kusaidia nchi masikini kupambana na madhara ya...
Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika yapo maboresho makubwa yaliyofanywa na Bodi ya mikopo miaka ya karibuni kwa lengo la kuwa mfuko endelevu na kunufaisha Wanafunzi wengi zaidi.
Mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yamewaumiza walipaji wengi hususani walioanza kulipa kabla ya mwaka 2017.
Kuna...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa...
Wakati ujenzi wa uwanja wa mpira kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco ukiwa hauelewiki maana hakuna kinachoendelea site, naomba kujuzwa ni nini kinaendelea kuhusu ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika eneo la Msalato mkoani Dodoma.
Nakumbuka iliripotiwa kuwa mkopo wa shilingi...
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
IMF Executive Board Approves Immediate Debt Relief for 25 Countries
Washington, DC – Ms. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF) issued the following statement:
“Today, I am pleased to say that our Executive Board approved immediate debt service...
Poleni na majukumu wadau. Nimehitimu chuo kikuu 2013 BSc. Ed. na kwa sasa naplan kurudi kusoma Medicine. Nikiomba mkopo kuna uwezekano wa kupata? Wenye uelewa katika hili naombeni taarifa tafadhali.
Benki ya Dunia (WB) hatimaye jana ilifikia muafaka na Serikali kutoa mkopo wa Dola500 milioni (Sh1.2 trilioni) kwa ajili ya kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania.
Benki ya Dunia ilichelewa kutoa fedha hizo kufuatia maombi ya baadhi ya wanasiasa wa upinzani na asasi za kiraia waliokuwa...
Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa.
Soma waraka wao huu...
Bak ya Dunia inatarajia kuidhinisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuingilia kati.
Hayo yamejiri baada ya serikali ya Tanzania kwenda...
Zitto kuandika barua Benki ya Dunia siyo kosa ndiyo, ila kosa ni kutumia nembo ya Bunge kuiandikia Benki ya Dunia, na kusaini barua kama Mbunge wa JMT, wakati Bunge halikuwa na taarifa rasmi kuhusiana na barua yake hiyo.
Zitto alitakiwa aandike barua hiyo kama Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...
Zitto Kabwe:
Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015
Zitto...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo.
Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake.
Hapa nina maswali mawili:
Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
Wakuu wangu wazuri nawabusu.
Kuna mdogo wangu amemaliza Form Four Kisutu girls pale posta (Shule ya serikali) ana division two.
Sasa kuna Uncle alimuahidi kuwa akipata ufaulu mzuri atamsomesha Advanced shule moja private ipo Tanga.
Dogo anatarajia kusoma PCB (tuseme combination za science)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.