Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
Habari za weekend wapendwa,
I hope you are all doing great.Mimi ni single mum ambaye nalea mwanangu mwenyewe toka mjamzito.Babake alikataa mimba na kuomba niitoe but niligoma kuuwa kiumbe kisicho na hatia.
Nikaamua kulea mwenyewe na baada ya kujifungua, bado akakataa mtoto hivyo tukafanya...
Kwa wale wanufaika wa bodi ambao hazina imecheka ofisini kwenu, vipi kuna tofauti yeyote kwenye deni la HESLB?
Au imekuwa kama vifurushi serikali inasema hivi mitandao inafanya vile.
Kigezo cha mtoto mbaye amesoma private schools asipate mkopo si sahihi. Wazazi wengine wanakuwa wamestaafu, wameacha kazi, wamekufa etc, kutumia kigezo hicho ni kutowatendea haki.
Au pia uwezo wa biashara yake umekufa kama wakati wa Mwendazake biashara nyingi zilikufa na...
Wakuu nihitaji kukopa milioni moja fasta. Kuna mambo yamenibana, dhamana naweka hati ya kiwanja. Nipo Dar kama mtu ana idea sehemu naweza pata pia aniambie.
Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali.
Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa dharura (ndani ya masaa 24 au 48) kwa riba nafuu. Mkopo ninaohitaji ni laki7 na nitarejesha ndani ya...
Nimeliona hili ktk taarifa ya habari sijalielewa vizuri . Yaan mwanafunzi mzanzibar anaweza kukopa heslb ya bara ila.mbara hawezi kuomba mkopo kwa bodi ya elimu ya juu zanzibar ...huu ni muungano au mfarakano ?
Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.
Mimi sio mtu wa biashara na pia...
Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika ilipungua kwa theluthi moja, kitu ambacho kinaashiria kuwa China imepunguza kwa kiasi kikubwa mikopo yake...
Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business.
Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash.
Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake
Sheria ya Kurejesha Madeni ya mwaka 1970, mfanyakazi hatakiwi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake ghafi...
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016.
Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
Habari zenu ndugu wana JF,
Ndugu zangu nimepata na matatizo ambayo yanahitaji kuyatatua kwa uharaka,ninahitaji Mkopo wa Milioni 1.
Mkopo nitarejesha ndani ya miezi 2 kwa awamu 2,nitafurahi kama nitapata kwa riba ya 10%-15% kwa mwezi. Dhamana niliyonayo ni mshahara wangu wa kila mwezi.
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana
Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena?
Naombeni mnisaidie wakubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.