Riba ya Mkopo

saryia toly

Member
May 29, 2014
6
0
Wasomi naomba kuelimishwa.

Kisheria, hasa sheria ya fedha imekaaje? Je, kuna kiwango elekezi cha riba ambacho mkopeshaji anatakiwa asivuke? Na je, Kila mtu anaweza akaanzisha utaratibu wa kukopesha mtaani na kuwa na riba aliyoamua na mbele ya sheria akawa Yuko sahihi?
 
Back
Top Bottom