Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

Livejr

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,068
2,792
Baada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili

Watu mbalimbali wamehoji kwa nini Watumishi wanapoidai Serikali hakunaga hiyo 'Rentetion fee'?

FB_IMG_1610293980612.jpg
 
Serikali hii imekaa kiwizi wizi.
Inakusanya kodi ni pesa zetu. Kisha inatukopesha na riba kubwa.
Hii retention fee ni ya nini?
Mbona wazee wetu wanaidai serikali kupitia NSSF na PSSSF mpaka mwaka unapita wanadai mafao....mbona hawaweki hiyo value retention fee?

Wangapi wanaidai serikali na mbona hatuoni wamejiwekea VRF?

Wizi mtupu.
 
Serikali hii imekaa kiwizi wizi.
Inakusanya kodi ni pesa zetu. Kisha inatukopesha na riba kuwa.
Hii retention fee ni ya nini?
Mbona wazee wetu wanaidai serikali kupitia NSSF na PSSSF mpaka mwaka unapita wanadai mafao....mbona hawaweki hiyo value retention fee?

Wangapi wanaidai serikali na mbona hatuoni wamejiwekea VRF?

Wizi mtupu.
Guys, don't fools us around. Stop going around the bush.....tell us here in naked truth why salary slip shows 47+billion loan amount due? Why? Mnasema kinachoonekana kwenye loan statement
Una NIDA ???
Ninayo, sijaajiriwa. Natumia TIN ya mama yangu na biashara zinasoma zake yeye. Wananipata wapi?
 
Mbona hawajasema kwanini hapo i

Guys, don't fools us around. Stop going around the bush.....tell us here in naked truth why salary slip shows 47+billion loan amount due? Why? Mnasema kinachoonekana kwenye loan statement

Ninayo, sijaajiriwa. Natumia TIN ya mama yangu na biashara zinasoma zake yeye. Wananipata wapi?
Vipi ukitaka Passport ya kusafiria 😎😎
 
Back
Top Bottom