Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi
Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
wakuu habari za kushinda???..
ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote..
nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details kulingana na current guidline..
cheti cha kuzaliwa na cha kifo niliviatach .. lakini baada ya kumaliza...
Likija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo.
Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini.
Haya bodi wenyewe makao...
Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika. Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti.
Wote wanatokea familia masikini ila familia ya mwanamke ina ahueni kidogo maana...
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo.
Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi.
Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/
Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju, Bagamoyo wafike internet cafe iliyopo boko chama kwa mawasiliano tuandikie email...
Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi.
Msaada tafadhari.
Kichwa cha habari kinajieleza.
Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.
karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013.
2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016.
3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku...
Hello Wadau!!
Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo
Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao
Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100%
Hiki kinanifanya nijiulize
Mosi, ni...
Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu.
Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 nahitaji kuomba mkopo mwaka huu je nitakubaliwa bila kuambatanisha cheti changu cha kidato cha sita maana shule niliyotoka nadaiwa ada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.