The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.
Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari.
Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
Habari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika...
nawasalimu kwa jina la jmt!
Tumeona na kuelimishwa na nyuzi nyingi sana humu kuhusu madhara wayapatayo wanaoingiliwa kinyume na maumbile. Hebu leo tufahamishane kuhusu madhara ya kiafya kwa upande wa anayeingilia. Ahsante!
Mwanaume anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45) kwa kumkata mapanga kichwani na mabegani, kisha kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo...
Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)
Ikumbukwe mwaka jana mjadala uliibuka baada ya rapa huyo kusema alishakuwa kwenye uhusiano na Jada baada ya kupewa ruhusa na mumewe, wengi walimponda Jada kuwa hakuwa mwaminifu kwenye ndoa yake...
Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma.
Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee.
Metacha Kwa jeuri Na...
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Bi Simone Gbagbo leo ameshiriki katika uzinduzi wa harakati ya kisiasa, ikiwa ni hatua moja kuelekea kuasisi chama chake cha siasa kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2025.
Simone Gbagbo ametilia mkazo mwelekeo wake wa kuwa na "Kodivaa yenye nguvu, iliyo...
Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako.
Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika.
Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao.
Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote
Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro...
Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
Samahani kidogo kwa usumbufu. Naomba ushauri hapa
Nianze kujenga nyumba then nioe kisha ninunue gari
Nioe, ninunue gari kisha nijenge au
Ninunue gari, nijenge kisha nioe, au vyote.
Upi ni mlolongo mzuri?
⒨⒴ ⒡⒰⒯⒰⒭⒠.
Kwa kuanza Kabila langu Mnyakyusa!
Elimu Masters of science in Finance
Shughuli mwajiriwa wa Kampuni binafsi ya Kimataifa (Ulaya Magharibi)
Umri 33 sina mtoto
Umbo : Mrefu Mweusi si mwembamba sana wastani meter 1.65
Uzito Kg 73.
Kipato Monthly income 2300-3000$
natafta Mke wa Kuoa ambaye...
Ni kitu cha kushangaza mpaka leo huu mfumo wa kutoa mahali bado unaendelea. Tumefundishwa tokea tulivyo kuwa shule ya msingi ya kuwa mahali sio nzuri kwa mwanamke, inashusha thamani yake katika ndoa, lakini kwanini bado tunaitumia mpaka leo? Ndoa hutokea pale ambapo watu wawili wanapopendana na...
Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke!
Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body.
Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.