Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
 
Point kabisa....nashangaaka ata masingle maza oh mie mwanaume akitaka kutulia na mie ampende mtoto wangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mie nimependa mbususu yako hayo ya mtoto ya nini tena.

Tukiambiwa tusizae hovyo hovyo nje ya ndoa tunajiadai wajuaji kumbe mafala tuu.
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Sababu zinazoweza palakea usingle father ni nyingi zaid ya unavyofikria. Na mtu anaposema anaitaji upendo kwa mtoto wake haina maana huyo muolewaji ampende mtoto wake wa kambo sawa sawa na anavyo mpenda mme wake la hasha bali anaitaji kuona mtoto akilelewa kama mtoto, wam-treat kama mtoto tena mtoto wake wa kuzaa na sio kuonyeshea chuki ambayo itamjenga mtoto vibaya, kama ni kuadhibiwa bas aadhibiwe kama mtoto nasio kifanyiwa violence, nk.sio hvyo unavyo sema usifananishe familia na maisha ya uboyfriend na girlfriend, familia inajengwa na more love than romancy (sina maana romantic moments zife)

Wewe ni binadam usifananishe na kuku ndio maana uwez kubar baba au ndugu yako akupande kisa kuku wanafanya hvyo
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Una watoto wangapi hadi sasa? Maana roho yako inaonekana ni mbaya sana.
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Asee

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Watu mliozaa kwanini huwa mnapenda ku force watoto wenu wapendwe na wengine kilazima hasa ukichukulia mitoto yenyewe huwa mikorofi imeathiriwa na ugomvi wenu wa mahusiano yali yovunjika na ni watoto wasio pendeka hata ufanyeje wataona huyu sio mama yetu.

Kuku tu mwenyewe huwa anakimbiza vifaranga visivo mhusu sembuse binadamu, na kama kweli ulikuwa na upendo why haukupatana na uliyezaa naye mkamlea mwanenu yeye aligoma then una force mtoto apendwe na mpenzi wako mpya.

Mpenzi wako kaja kwako ku enjoy mahusiano na sio kuhangaika na mtoto asiye mhusu
Nakazia
Kuku Tu Mwenyewe Anafukuza Vifaranga Visivyo Vyake
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Mbinguni Una Nafasi Yako Tena Utakaa Kwenye Kivuli
Ukiwa~Zoom Kama Jiwe
 
Kwa vyovyote hayo ni mambo ambayo uliyalea mwenyewe tangu mwanzo na sasa ni tabia ambayo imeshaota mapembe, mwanaume ndiye msimamizi wa mke na mtoto na iwapo ukionyesha kuelemea upande mmoja au kutokukemea tabia mbovu mapema ndio hufikia huko.
Hapo bado yatatokea mazito zaidi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom