Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
401
366
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.

Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo, lazima nitafute sababu yoyote ya kunifanya niongee naye.

Halafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yeye ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi, mimi naumia ila najikaza.

Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi, nimefurahi jana ka-save namba zangu nimeanza kuona status zake, sina hakika kama yeye anajua nampenda, pengine yeye ananichukulia mimi kawaida.

Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali, yule dada nampenda yani hata kama nikiongea naye tu naridhika, siwazi kabisa kufanya naye mapenzi, yani nina feelings za kwamba nataka niwe naye karibu tu.

Nafanyaje wakuu?
 
Wakuu samahani kwa mada hii,sijui kama napitia pekeyangu au laa,mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote,tuna mtoto mmoja.

Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo,lazima nitafute sababu yyte ya kunifanya niongee nae.

Alafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yy ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi,mimi naumia ila najikaza.

Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi,nimefurahi jana kasave namba zangu nimeanza kuona status zake,sina hakika kama yeye anajua nampenda,pengine yy ananichukulia mimi kawaida.

Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali,yule dada nampenda yani hata kama nikiongea nae tu naridhika,siwazi kabisa kufanya nae mapenzi,yani nina feelings za kwamba nataka niwe nae karibu tu.

Nafanyaje wakuu?
Imeandikwa "Usitamani mwanamke asiye mke wako". Ongeza Kusali kwa bidii ili huyo Pepo anayekushawishi kumpenda mwanamke asiye mke wako ashindwe kwa Jina la Yesu Kristo.
 
Fanya hivi mkuu -ndugu yangu,
..............................................
..............................................
..............................................
..............................................
..............................................
........
......................
Ukifuata Hayo niliyaandika hapo utampata hata kesho tu halafu njoo ulete mrejesho
Hakika utanishukuru!
 
Hilo ni jaribu/mtego yakupasa ulishinde ili kuilinda ndoa yako....kama ukianguka kwenye zinaa itakuwa ndio mwanzo wa kuivuruga ndoa yako na ukifika huko utapata wakati mgumu sana na hutaweza kurekebisha ulipokosea.

Linda ndoa yako mkuu usiruhusu hisia/matamanio ya muda mchache yakuvunjie familia maana utajuta na hutakuwa na wakumlaumu.
 
Yaan wewe haupo kwenye uanaume, wewe ni mvulana yaan sisi wanaume wenzio tukitamani tu tunatongoza na tunachapaa, wewe una nyege mkuu fasta umtie tu huyo mdada kisha utamuona wa kawaida sanaaa
 
Back
Top Bottom