Hakuna mwanaume Mgane. Wanaume tujipange

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,337
51,858
HAKUNA MWANAUME MGANE"ALIYEFIWA NA MKE AU NA WATOTO: JIPANGE.

Anaandika Robert Heriel.

Andiko hili maneno yake yamepimwa yakathibitika. Ni amini na kweli. Sijaandika kumuumiza yeyote, wala kumfurahisha yeyote. Nimeandika haya Kwa ajili ya wanangu iwe wa kuwazaa mwenyewe au wakufikia, au wanangu Kwa binti zangu.

Andiko hili linamfaa mwanaume yeyote Kwa umri wowote, hadhi yoyote, Cheo chochote, pia linawafaa wanawake wenye watoto wakiume tuu. Andiko hili halimfai mtu awaye yeyote mwenye jinsia ya kike, mwenye akili za kike, mwenye roho ya kike, na Hisia za kike. Haya hivyo nimesema Kama atakuwa mwanamke basi awe na mtoto/watoto wakiume huyo litamfaa kwani atatumia kuwafundisha watoto hao.

Niite Taikon wa Fasihi, Kuhani katika Hekalu jeusi.

Utakapozaliwa mwanaume tangu siku ya Kwanza tayari upo katika mapambano makuu. Upo katika mapambano Kwa sababu uliyezaliwa ni Mtawala. Na maisha siku zote ni vita vya utawala, mwenye nguvu ndiye atakayeishi Kama walivyosema wahenga kina Lamarck.

Mwanaume lazima ujue kuwa, hakuna ambaye atakupa upendeleo, hakuna wa kukupigania isipokuwa wewe mwenyewe. Itashangaza kijana ukiwa unafikiri Kama Mwanamke.

Unajua mtu anaweza akawa na Cover ya kiume lakini ndani akawa mwanamke, yaani mtu akawa na jinsia ya kiume lakini moyo(hisia), roho na akili za kike.

Mwanaume akishapevuka akakomaa hupaswi kufikiri, kuhisi na kuwa na Imani za kike kike. Be a Man, dunia inaihitaji Mtawala sio mtu wa kujiliza Liza Kama Mwanamke, sio mtu wa kununa nuna Kama mwehu.

Duniani na mbinguni, kuzimu na baharini mwanaume hapewagi upendeleo isipokuwa anapewa challenge ili kuangusha utawala wake. Kuzaliwa tuu mwanaume ni upendeleo tosha kwani tayari umezaliwa Kama Mtawala, zingatia neno "Kama Mtawala" hivyo yakupasa kuwa Mtawala zingatia neno "Kuwa Mtawala".

Iwe Kwa wanyama iwe popote pale, mwanaume ni kiumbe anayepaswa na kustahili kupitia katika Mazingira magumu yakumkomaza.

Mwanaume hapaswi kuwa tegemezi, isipokuwa awe mtegemewa. Awe chanzo cha YOTE. Ndio maana utaitwa Baba, naam ndio ABA' yaani chanzo cha yote, mtoaji na mwenye mamlaka.

Mwanaume hupaswi kujipendekeza Kwa Mkeo au Kwa watoto. Wewe ni Mtawala, wewe ndio chanzo, Kwanini ujipendekeze, hujiamini? Au ndio Una motherboard ya kiume lakini ndani wewe ni jike.

Nilishasema mwanaume ni AKILI, lakini pia roho mbali na jinsia yake ya kiume.

Hakunaga mwanaume aliyefiwa na mkewe au watoto. Duniani na mbinguni. Yaani mwanaume mjane/MGANE huyo hakuna.

Biblia na Qurani hazitambui Jambo Hilo.

Biblia zinawatambua wanawake Wazee waliofiwa na waume zao(waliofiwa na watawala) na watoto zao au watoto wao ni Mafukara.
Mwanamke akifiwa na mumewe(Mtawala) kiasili anahitaji ulinzi, Huduma, Ushauri miongoni mwa mambo mengine.

Kama nilivyosema, mwanaume ni Mtawala yaani lazima uwe na uwezo wa mapambano ya namna zote katika Mazingira yoyote Yale. Sio kujiliza Liza na kutoa sababu zisizoeleweka.

Ikiwa hakuna mwanaume MGANE nini unapaswa ukiweke akilini tangu ukiwa kijana?

Unapaswa ujiandae na mapambano ya uzeeni tangu ukiwa kijana;! Ukijua kabisa wewe ni Mtawala na siku zote hakuna anayependa uendelee kuwa hapo Ulipo.

Kama dunia isipoku-challenge basi Mkeo ataku-challenge, Kama Mkeo sio Mkeo basi watoto ndio watataka kuku-challenge, usikubali mtu yeyote apime na atake kukuangusha kwenye utawala wako hata Kama ni mtoto wako WA kumzaa. Asubiri siku ukiondoka Duniani lakini sio ungalipo.

Pengine kuna watu hawanielewi hasa wenye akili nzito. Ikiwa basi niwape pole.

Ukiwa kijana pambana Kwa nguvu zote, wekeza silaha za kutosha utakazozitumia katika nyakati za Pambano la lalasalama, usiwekeze Sana Kwa mtu yeyote ukajisahau.

Hao unaowekeza kwao hawatakusaidia lolote upende usipende.

Weka vitega uchumi, nunua ardhi, Jenga makazi huku na huko Kama utajaliwa uwezo,

Hayo yote yafanye ukiwa na roho ngumu yenye maamuzi magumu. Hakikisha wote wanaokuzunguka wakujue wewe sio mwanaume wa kuchezewa, hakikisha wakujue wewe ni mwanaume halisi usiyeyumbishwa na ambaye upo tayari kupambana na yeyote bila kujali matokeo.

Mkeo, watoto, ndugu na rafiki wajue kuwa wewe sio mtu wa kuchezewa.

Wakijua wewe sio mtu wa kuchezewa na huna mchezo na yeyote Kama vita vyako kamwe hawataweza kucheza na wewe, hawataweza kumchezea Mkeo, hawataweza kuchezea watoto wako, hawataweza kuchezea Mali zao, hawataweza kuchezea muda wako, na hapo ndipo ushindi wako utakuwa dhahiri.

Lakini ukiruhusu kuchezewa ukiwa kijana wakati unanguvu kabisa basi jua uzee wako upo mashakani.

Usiwe mwanaume wa kuwa na mtazamo kuwa mke au mtoto atanisaidia baadaye, utakwama hakika. Siku zote mwanaume anajisaidia mwenyewe, hasaidiwi. Wanaume wengi waliokuwa na mtazamo wa kutegemea watoto wao tangu wakiwa Vijana Kwa sasa wanaonja joto la jiwe.

Huwezi mtegemewa mtoto uliyemzaa, au kujitegemea mke uliyemuoa labda uwe umepungua kiuwezo.

Jijenge watoto wakutegemee, kazi yako ni Kutoa amri tuu kwani hiyo ndio kazi ya Baba, na hili utalifanya endapo utajitambua mapema kuwa wewe ni Mwanaume na ndiye Mtawala wa Dunia hii.

Usikubali Mkeo akuendeshe Kwa namna yoyote Ile.

Nafahamu wapo baadhi ya wanawake wanaweza kuwa na vipato vikubwa kukushinda, nafahamu wapo wanawake wanaweza kuwa na Mali kukushinda, au Cheo lakini hiyo haiwafanyi wawe wanaume. Mwanamke ni mwanamke tuu hata angepewa mamlaka inayokaribia ya mungu, uzuri ni kuwa wanawake wanalijua hili.

Kamwe usijishushe Kwa mwanamke hata iwe nini, wewe ni mwanaume, ambaye utaitwa Baba, yaani chanzo cha yote, mtoaji, mhudumiaji, mlinzi na mleta Amani.

Mwanamke hata awe na Cheo au pesa vipi hawezi leta ulinzi eneo alilipo bila ya mwanaume. Sehemu isiyo na Mwanaume hakuna usalama.

Usiponisikiliza, utakuja kuambiwa Kwa vitendo.

Zingatia; mwanaume ni Mtawala hivyo lazima apewe challenge za kitawala. Lazima majaribio ya mapinduzi mara Kwa mara yawepo, aidha yawe yanatoka Kwa Mkeo au watoto au hata ndugu au Duniani Kwa ujumla.

Hakunaga Baba MGANE kiasili Ila yupo Bibi mjane asiyejiweza.

Kijana ukilijua hili utajipanga mapema.

Ili baadaye usijelia lia oooh! Wanangu hawanisaidii wanamsaidia tuu mama Yao, sijui wamenitupa, sijui blah! Blah!
Mwanaume hasaidiwi dunia ingalipo yeye akiwepo.

Nimemaliza.

Ni Yule Mtibeli kutoka Nyota ya Tibeli

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
We kijana unaonekana una low self esteem before women, yani huna confidence mbele ya jinsia ke, so unajaribu kujipa moyo na kujimwambafai nyuma ya keyboard ili kuficha madhaifu yako, haiwezekani kila mara uwe unakuja na nyuzi za kueleza wanaume wenzako how to be a man, naamini jf kuna wanaume kamili wa shoka wengi tu but huwezi kuwaona kwenye vimada vyako uchwara, nna mashaka wewe ndiye huyo mwanaume mwenye roho ya kike iliemtaja hapa, man up bro
 
Bahati nzuri nimetumia majina halisi so unayemtolea maoni yako hajajificha Kwa ID fake hivyo Kwa wanaonijua wataungana na wewe ikiwa nipo hivyo au watakuona mwehu ikiwa umepuyanga.
 
HAKUNA MWANAUME MGANE"ALIYEFIWA NA MKE AU NA WATOTO: JIPANGE.

Anaandika Robert Heriel.

Andiko hili maneno yake yamepimwa yakathibitika. Ni amini na kweli. Sijaandika kumuumiza yeyote, wala kumfurahisha yeyote. Nimeandika haya Kwa ajili ya wanangu iwe wa kuwazaa mwenyewe au wakufikia, au wanangu Kwa binti zangu.

Andiko hili linamfaa mwanaume yeyote Kwa umri wowote, hadhi yoyote, Cheo chochote, pia linawafaa wanawake wenye watoto wakiume tuu. Andiko hili halimfai mtu awaye yeyote mwenye jinsia ya kike, mwenye akili za kike, mwenye roho ya kike, na Hisia za kike. Haya hivyo nimesema Kama atakuwa mwanamke basi awe na mtoto/watoto wakiume huyo litamfaa kwani atatumia kuwafundisha watoto hao.

Niite Taikon wa Fasihi, Kuhani katika Hekalu jeusi.

Utakapozaliwa mwanaume tangu siku ya Kwanza tayari upo katika mapambano makuu. Upo katika mapambano Kwa sababu uliyezaliwa ni Mtawala. Na maisha siku zote ni vita vya utawala, mwenye nguvu ndiye atakayeishi Kama walivyosema wahenga kina Lamarck.

Mwanaume lazima ujue kuwa, hakuna ambaye atakupa upendeleo, hakuna wa kukupigania isipokuwa wewe mwenyewe. Itashangaza kijana ukiwa unafikiri Kama Mwanamke.
Unajua mtu anaweza akawa na Cover ya kiume lakini ndani akawa mwanamke, yaani mtu akawa na jinsia ya kiume lakini moyo(hisia), roho na akili za kike.

Mwanaume akishapevuka akakomaa hupaswi kufikiri, kuhisi na kuwa na Imani za kike kike. Be a Man, dunia inaihitaji Mtawala sio mtu wa kujiliza Liza Kama Mwanamke, sio mtu wa kununa nuna Kama mwehu.

Duniani na mbinguni, kuzimu na baharini mwanaume hapewagi upendeleo isipokuwa anapewa challenge ili kuangusha utawala wake. Kuzaliwa tuu mwanaume ni upendeleo tosha kwani tayari umezaliwa Kama Mtawala, zingatia neno "Kama Mtawala" hivyo yakupasa kuwa Mtawala zingatia neno "Kuwa Mtawala"

Iwe Kwa wanyama iwe popote pale, mwanaume ni kiumbe anayepaswa na kustahili kupitia katika Mazingira magumu yakumkomaza,

Mwanaume hapaswi kuwa tegemezi, isipokuwa awe mtegemewa. Awe chanzo cha YOTE. Ndio maana utaitwa Baba, naam ndio ABA' yaani chanzo cha yote, mtoaji na mwenye mamlaka.

Mwanaume hupaswi kujipendekeza Kwa Mkeo au Kwa watoto. Wewe ni Mtawala, wewe ndio chanzo, Kwa nini ujipendekeze, hujiamini? Au ndio Una motherboard ya kiume lakini ndani wewe ni jike.

Nilishasema mwanaume ni AKILI, lakini pia roho mbali na jinsia yake ya kiume.

Hakunaga mwanaume aliyefiwa na mkewe au watoto. Duniani na mbinguni. Yaani mwanaume mjane/MGANE huyo hakuna.
Biblia na Qurani hazitambui Jambo Hilo.
Biblia zinawatambua wanawake Wazee waliofiwa na waume zao(waliofiwa na watawala) na watoto zao au watoto wao ni Mafukara.
Mwanamke akifiwa na mumewe(Mtawala) kiasili anahitaji ulinzi, Huduma, Ushauri miongoni mwa mambo mengine.

Kama nilivyosema, mwanaume ni Mtawala yaani lazima uwe na uwezo wa mapambano ya namna zote katika Mazingira yoyote Yale. Sio kujiliza Liza na kutoa sababu zisizoeleweka.

Ikiwa hakuna mwanaume MGANE nini unapaswa ukiweke akilini tangu ukiwa kijana?

Unapaswa ujiandae na mapambano ya uzeeni tangu ukiwa kijana;! Ukijua kabisa wewe ni Mtawala na siku zote hakuna anayependa uendelee kuwa hapo Ulipo.
Kama dunia isipoku-challenge basi Mkeo ataku-challenge, Kama Mkeo sio Mkeo basi watoto ndio watataka kuku-challenge, usikubali mtu yeyote apime na atake kukuangusha kwenye utawala wako hata Kama ni mtoto wako WA kumzaa. Asubiri siku ukiondoka Duniani lakini sio ungalipo.

Pengine kuna watu hawanielewi hasa wenye akili nzito. Ikiwa basi niwape pole.

Ukiwa kijana pambana Kwa nguvu zote, wekeza silaha za kutosha utakazozitumia katika nyakati za Pambano la lalasalama, usiwekeze Sana Kwa mtu yeyote ukajisahau.
Hao unaowekeza kwao hawatakusaidia lolote upende usipende.
Weka vitega uchumi, nunua ardhi, Jenga makazi huku na huko Kama utajaliwa uwezo,

Hayo yote yafanye ukiwa na roho ngumu yenye maamuzi magumu. Hakikisha wote wanaokuzunguka wakujue wewe sio mwanaume wa kuchezewa, hakikisha wakujue wewe ni mwanaume halisi usiyeyumbishwa na ambaye upo tayari kupambana na yeyote bila kujali matokeo.

Mkeo, watoto, ndugu na rafiki wajue kuwa wewe sio mtu wa kuchezewa.
Wakijua wewe sio mtu wa kuchezewa na huna mchezo na yeyote Kama vita vyako kamwe hawataweza kucheza na wewe, hawataweza kumchezea Mkeo, hawataweza kuchezea watoto wako, hawataweza kuchezea Mali zao, hawataweza kuchezea muda wako, na hapo ndipo ushindi wako utakuwa dhahiri.

Lakini ukiruhusu kuchezewa ukiwa kijana wakati unanguvu kabisa basi jua uzee wako upo mashakani.

Usiwe mwanaume wa kuwa na mtazamo kuwa mke au mtoto atanisaidia baadaye, utakwama hakika. Siku zote mwanaume anajisaidia mwenyewe, hasaidiwi. Wanaume wengi waliokuwa na mtazamo wa kutegemea watoto wao tangu wakiwa Vijana Kwa sasa wanaonja joto la jiwe.
Huwezi mtegemewa mtoto uliyemzaa, au kujitegemea mke uliyemuoa labda uwe umepungua kiuwezo.

Jijenge watoto wakutegemee, kazi yako ni Kutoa amri tuu kwani hiyo ndio kazi ya Baba, na hili utalifanya endapo utajitambua mapema kuwa wewe ni Mwanaume na ndiye Mtawala wa Dunia hii.

Usikubali Mkeo akuendeshe Kwa namna yoyote Ile.
Nafahamu wapo baadhi ya wanawake wanaweza kuwa na vipato vikubwa kukushinda, nafahamu wapo wanawake wanaweza kuwa na Mali kukushinda, au Cheo lakini hiyo haiwafanyi wawe wanaume. Mwanamke ni mwanamke tuu hata angepewa mamlaka inayokaribia ya mungu, uzuri ni kuwa wanawake wanalijua hili.

Kamwe usijishushe Kwa mwanamke hata iwe nini, wewe ni mwanaume, ambaye utaitwa Baba, yaani chanzo cha yote, mtoaji, mhudumiaji, mlinzi na mleta Amani.

Mwanamke hata awe na Cheo au pesa vipi hawezi leta ulinzi eneo alilipo bila ya mwanaume. Sehemu isiyo na Mwanaume hakuna usalama.

Usiponisikiliza, utakuja kuambiwa Kwa vitendo.

Zingatia; mwanaume ni Mtawala hivyo lazima apewe challenge za kitawala. Lazima majaribio ya mapinduzi mara Kwa mara yawepo, aidha yawe yanatoka Kwa Mkeo au watoto au hata ndugu au Duniani Kwa ujumla.

Hakunaga Baba MGANE kiasili Ila yupo Bibi mjane asiyejiweza.
Kijana ukilijua hili utajipanga mapema.
Ili baadaye usijelia lia oooh! Wanangu hawanisaidii wanamsaidia tuu mama Yao, sijui wamenitupa, sijui blah! Blah!
Mwanaume hasaidiwi dunia ingalipo yeye akiwepo.

Nimemaliza.

Ni Yule Mtibeli kutoka Nyota ya Tibeli

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Umeandika vema
 
Hukuwahi kuniangusha mkuu
 
Mwanaume ni jeshi la mtu mmoja
 
We kijana unaonekana una low self esteem before women, yani huna confidence mbele ya jinsia ke, so unajaribu kujipa moyo na kujimwambafai nyuma ya keyboard ili kuficha madhaifu yako, haiwezekani kila mara uwe unakuja na nyuzi za kueleza wanaume wenzako how to be a man, naamini jf kuna wanaume kamili wa shoka wengi tu but huwezi kuwaona kwenye vimada vyako uchwara, nna mashaka wewe ndiye huyo mwanaume mwenye roho ya kike iliemtaja hapa, man up bro
Hii komenti kama kaandika mwanamke sishangai ila kama ni mwanaume ndio umemjibu hivi mwanaume mwenzio inatia mashaka kidogo?
 
Back
Top Bottom