Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
6,305
10,582
Habari Wakuu!

Moja Kwa moja kwenye Uzi!

Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na mke wangu, kana mchekeachekea, kana mshobokea na kujifanya kana-care. Sasa hakakujua kanadili na Jokajeusi lisilo na huruma, lenye hila za kiwango cha lami.

Nilitamani mshikaji asome zile simulizi za Nondo MLA watu huenda angekaa mbali na mke wangu.
Ingawaje mke wangu naye kazidi uzuri hali inayowavuta wanaume wakware wa mjini.

Sasa mshikaji wiki mbili zilizopita nikamfuma anamkonyeza mke wangu, hapohapo nikamwambia kama una hamu ya kuliwa mke wako useme. Maana mke wangu huwezi na ndio maana umehangaika hii zaidi ya wiki tatu. Nikamwambia Ninajua kila kinachoendelea, hivyo ajiandae kujibiwa na Jokajeusi. Nilimuambia kuna project naimalizia huko Dodoma, nikiimaliza nitaanza kumjibu kwa nguvu zote. Akawa ananicheka CHEKA akiwa na mtoto wake wa miaka kama nane hivi. Anajifanya anaomba radhi, nikamwambia huna haja ya kuomba radhi kwani maji umeyavulia nguo sharti uyaoge.

Mke wangu nilimchukua Brand New, mpya kabisa nikakata utepe mwenyewe. Sina wasiwasi na yeye kwani mali hii naijua. Imetoka kiwandani ikafikia kwangu, mnyamwezi.

Sasa nimerudi DSM wiki iliyopita nikiwa nimemaliza Project ya Dodoma, mashambulizi yote nikayaelekezea huko kwa jirani yangu wa Hazina.

Ndani ya siku tatu tuu nikawa nimeteka Mji, vita ninavijua, sio ardhini, majini au angani. Mke wake amesalimu amri kaninyoshea mikono juu. Nimemsaura juzi Jumamosi, nimepiga nikajipigia.

Halafu nilidhani vita yangu ingechukua siku saba mpaka kumi lakini kumbe nilikadiria tofauti. Ndani ya siku tatu tuu nikaangusha ngome.

Sasa jana tumetoka kanisani, mshikaji ananivuta pembeni ananiomba radhi kwa yale yaliyotokea wiki mbili zilizopita, kuhusu kumkonyeza mke wangu. Nikamwambia nimeshamaliza project ya Dodoma hivyo ategemee lolote yangu niliporudi. Akaleta habari za Ukristo na wanafunzi wake, mara sijui tusamehe Saba mara sabini.

Nikamjibu nikamwambia mimi siyo mfuasi wala siyo mwanafunzi wa Kristo, mimi ni Mfuasi wa Musa, natumia kanuni ya Jino Kwa jino. Hivyo ategemee kujibiwa au huenda nimeshajibu shambulizi.

Mke wake alikuwa kwenye gari ananitazama kwa wasiwasi sijui alidhani nitasema au tumeshtukiwa!
Jioni yake ananitumia SMS kwa namba ngeni ananiuliza tuliyokuwa tunazungumza, nikampandia hewani tukaongea weewh! Tumepata Jumatano tena tukakiwashe tena. Mtoto kadai kanogewa.

Kanikonyezea mke, mimi nimemlia mke wake. Na akicheza nitamtia mimba ili iwe fundisho Kwa wengine wanaoingia anga za wahuni, majoka ya kale yanayoishi Zama hizi.

Mtu akimtongoza Mkeo, wala usihangaike naye, nenda kamlale mke wake, na kama anawatoto wakubwa piga wote.

Hashangai kwa nini mke wangu mtaani anaogopwa kama ukoma na Wanaume. Kwa sababu nilishaongea kwenye mtaa kabisa kuwa atakayekutwa na Mke wangu ategemee kujibiwa Kwa nguvu zote.


Bikra matter's
 
Boss kwa swaga hizi utakuwa unagongewa sana trust me. Nilifikiri mkeo alikwambia kwamba jamaa anamtongoza, kumbe wewe ndio ulifumania mkonyezo. Huwezi jua labda almkonyeza kumkumbusha asisahau ahadi ya kukutana tena loji kama kawaida yao.

Huna utakalo mwambia Jokajeusi.

Njoo umle na wewe, hii ni Mali kutoka kiwandani, haijapitia Kwa wachuuzi.

Pia ukisoma vizuri utaelewa kuwa nimesema huyu mtu wa Hazina kamfuatilia mke wangu zaidi ya wiki tatu kaambulia patupu.

Huwaga majoka hatusubiri tuambiwe na wanawake, bali Sisi wenyewe kupitia uchunguzi wetu tunajua kila kinachoendelea

Karibu umtongoze mke WA Jokajeusi nawe uliwe Mkeo na wewe mwenyewe
 
Huna utakalo mwambia Jokajeusi.

Njoo umle na wewe, hii ni Mali kutoka kiwandani, haijapitia Kwa wachuuzi.

Pia ukisoma vizuri utaelewa kuwa nimesema huyu mtu wa Hazina kamfuatilia mke wangu zaidi ya wiki tatu kaambulia patupu.

Huwaga majoka hatusubiri tuambiwe na wanawake, bali Sisi wenyewe kupitia uchunguzi wetu tunajua kila kinachoendelea

Karibu umtongoze mke WA Jokajeusi nawe uliwe Mkeo na wewe mwenyewe
Nipe location boss
 
Back
Top Bottom