mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkamata ugoni dada yako?

    Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni? Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
  2. real G

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mchungaji Mwingira

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira. Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...
  3. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  4. Saad30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nampenda ila nashindwa kujizuia nionapo warembo

    Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo? Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia...
  5. Kirchhoff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  7. chongoe

    JamiiForums Tanzania mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

    habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

    Tumtakie Dr Dre kila la kheri katika maisha yake mapya maana inaonekana amepitia mengi katika ndoa hii.
  9. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwalimu analalamika

    Kweli wanawake inatakiwa tuishi nao kwa akili , na imefikia wakati sasa sijui watusamehe au iwaje au sijui tugeuke mwamposa tuwaponye😅😅 Tumepanda usafiri na mke wa Mwalimu Wakati stori zimekolea na mwenzie, akaingiza mstari ambao huu nliuskia ila hayo mengine wala sikuwa hata nayaskia. Eti...
  10. J_Okay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa! Nilikuja kujuta...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume miaka 36 natafuta mke

    Kuhusu Mimi, Miaka 36 Mkristo Mwajiriwa wa serikali Shahada ya uzamili Urefu 175cm, Uzito 66Kg Ninaye mtafuta -Umri 28 mpaka 38 -Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo. -Akiwa na mtoto siyo mbaya .
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu. Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Romy Jones amweleza mke wake akitimiza miaka 10 ya ndoa ataongeza mke mwingine

    Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni. Huku akimtakia kila lakheri mkewe, Romy alimwambia kewe kwamba wakitimiza miaka 10 katika ndoa...
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
  16. Jokajeusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

    Habari Wakuu! Moja Kwa moja kwenye Uzi! Kuna kajamaa kana fanya kazi pale Hazina, ninakaa mtaa mmoja nako, kalianza mazoea na mke wangu, kana mchekeachekea, kana mshobokea na kujifanya kana-care. Sasa hakakujua kanadili na Jokajeusi lisilo na huruma, lenye hila za kiwango cha lami. Nilitamani...
  17. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

    Naomba kufahamu jambo gani sahihi kati ya kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke? Maana mazingira yaliyopo yananifikirisha naombeni tu ushauri juu ya hili wana JF
  18. lelulelu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

    Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja. Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani...
  19. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ki halali uyu ni mke au bado mchumba?

    Habari ndugu zangu, Naombeni ushauri wenu. Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018 Tulihanza mausiano yetu. Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa. Baada ya apo tulipanga kuowana mimi na yeye Kwasababu mimi. Tuka ambia wazazi wetu wakabariki jambo ili wazazi wangu...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tu: Mwanaume huumia kwasababu Mwanamke wake kaingiliwa kimaumbile, kipi kinamuumiza Mwanamke BF/Mwanaume wake akichepuka

    Nimeuvaa uhalisia nikiwa kama mwanaume, siwezi kuwaongelea wanawake na ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunaji mwanbafai tunapokadiria mwanamke anachotaka, anachofikiria, anachopenda, hisia zake, n.k. huwezi kuuvaa uhalisia wa mwanamke wakati wewe ni mwanaume. Kwangu mimi nikikijua kwamba...
Back
Top Bottom