Hivi ki halali uyu ni mke au bado mchumba?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Habari ndugu zangu, Naombeni ushauri wenu.

Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018 Tulihanza mausiano yetu. Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa. Baada ya apo tulipanga kuowana mimi na yeye Kwasababu mimi. Tuka ambia wazazi wetu wakabariki jambo ili wazazi wangu wakataka kwenda muweka Mali kwao na mtoto wa kike. Wazazi wa mtoto wakike walikataa wa kasema hawawezi kubali kuchukuwa Mali yangu kwasasa ni lazima kwanza ni fanikishe jambo langu ninalo taka kufanya. Ya kumleta mtoto wa kike uku ninako ishi ndo watakubali mahari yangu.

Na sababu nyingine walisema kuwa maybe wanaweza kuchukuwa pesa zangu alafu uku nyuma mtoto wao anapigwa mimba na mtu mwingine inakuwa shida. Hizo sababu zao familia yangu waliona zote ni sababu za msingi wa kasema yote ni sawa. Mimi Mwaka jana nilitaka uku ambako na ishi nikaja Tanzania kukutana na uyo dada Ki ukweli tulipendana. Familia yake waka anza kunipiga biti za atari kuwa si ruhusiwi kulala na mtoto wao sababu zijaweka Mali nilikubali. Tukawa tuna fanya mapenzi kwa uficho kabisa

Mwishoni Tuka enda kufunga ndoa. Kabla ya kwenda kufunga ndoa nilifanya kikao na familia yao kuwambia nataka niweke Mali Maana sitofunga ndoa na mwanamke ambaye ajawa mke wangu waka ni pamba kwa maneno yao nika kubali Tuka enda kufunga ndoa ku ambassade ya DRC Ambayo iko kigoma pale

Swali la kwanza kabla ya yote wali ni uliza umesha weka Mali kwao na uyu mtoto wa kike nilivyo taka kujibu wao waka jibu kwa kusema ndio amesha weka Mali. Nika shangaa ok nikaona ni sawa tu ambassade alihuliza ilo swali mara 5 waka jibu Ivo Ivo mwishowe Aka wambia Ikiwa tutafunga iyi ndoa na tukija kujua kuwa mume mzuru uyu kijana mke wake wake. Au kufanya jambo lolote mtalipa gharama Ambayo uyu kijana ametumikisha. Kwanza kuanzia safari yake kutoka uko aliko kuwa mpaka malipo na gharama zote za sherehe alizo fanya

Si kujua ambassade ana Maana gani. Kusema ivo mimi nilikuwa na fikiri labda ndo sheria zao pale. Baada ya sisi kufunga ndoa ambassade alinipigia simu Aka alitaka kuonana na mimi. Tulihonana Maswali Ambayo Ali ni uliza. Kijana kwanini ukutaka kwenda kutafuta mke kongo? Mpaka uje kuoa Tanzania nili mjibu ambassada kwa kucheka nikamwambia ni mapenzi mzee tu ndo

OK ana jibu ni mapenzi ndio mwishowe Aka ni ambia Kuna vijana wengi ambao Wana toka uko umarekani Wana kuja kuoa wanawake wa kitanzania wengi wao Wana lia mke Wana kosa na vitu vyao Wana kosa. Kwa iyo uwe makini

Sasa baada ya mimi kufunga ndoa nilirudi zangu nilipo fika uku. Ili kuja kufanya mchgo wa kumleta uku mwanamke Aka anza vituko vyake. Eti mimi sio mume wake ni mchumba tu ana mamlaka ya kufanya chochote anacho jisikia

Nikawa na shangaa saana ila mwisho wa mwezi mwanamke akaja kunimwaga. Ila mimi bado na mpenda saana na jaribu kuongeya naye mtoto wa kike ame lala chini kuwa awezi kunikubali Tena. Ukweli nilikuwa na mkosea na yeye pia alikuwa ana ni kosea Tena zaidi ya saana. Ila nilikuwa na msamehe yote.

Na yote aya ana fanya baada ya kula pesa zangu nyingi tu. Jamani Kama Kuna mtu yeyote ambaye ana jua kabisa. Ivi Ki halali uyu ni mke wangu au bado ajawa? Pili. Ivi nikipeleka malalamiko yangu serekalini na weza rudishiwa gharama yangu. Maana nilitumia kitu cha ndoa 2500 kutoka uku niliko mpaka kupata vyeti na vitambulisho vingine.

Pia kumlipia nyumba na mengine mengi Maana karatasi zote ninazo. Inaniuma pale ninapo ona yuko na mwanaume mwingine alafu ana enjoy naye life kwa vitu nilivyo mununua Tena kwa zarau ana ni ambia siwezi mfanya lolote. Naombeni msahada wa mawazo
 
Habari ndugu zangu
Naombeni ushauri wenu
Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018
Tulihanza mausiano yetu
Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa

Daah mazee mnapitiaga mitihan migum na hao wanawake wenu mm hasira zangu aloooh ningekata kichwa nyang'anya kila kitu vunja mkataba km ulimpangishia kwamaan ww ndio unajulikana km mpangaji tia kofi *****....hawa wanawk wengine mon wapewe ngeu akili zao ndio zinakaa hv h utajisumbua sana kiakil
 
Daah; pole ndugu, ngoja wajuzi zaidi waje wakufamishe mi hata sijui sheria za kumiliki mke
 
Habari ndugu zangu
Naombeni ushauri wenu
Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018
Tulihanza mausiano yetu
Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa
Baada ya apo tulipanga kuowana mimi na yeye Kwasababu mimi
Tuanzie hapa, Ulikuwa unahuakika kuwa anakupenda Kama unavyompenda?
 

Wazazi wa huyo mwanamke ni matapeli ndio maana walikataa mahari. Huenda anayofanya huyo mwanamke walimfudisha wazazi wake kukutendea hivyo. Pole sana. Ninachokushauri nenda mahakamani kufungua kesi ya talaka kwa sababu una ndoa halali kisheria. Ndoa sio mahari ndoa ni cheti. Fungua kesi ya talaka kisha iombe mahakama imlazimishe mkeo alipe gharama zako. Halafu tafuta mwingine atayekupenda kwa dhati oa huyo.
 
Hivi Congo si ndio wazee wa ndumba nyie...hebu fanya mambo kijana wasilete dharau
 
Sasa mutu naacha wew iko mataa.. nashindaga jua ile ya kumfanya! Na nyewe inaleta shida iko wew bado nampenda... Ndjoo Tanzania tafuta nyingine oa
 
Ba Mtu wa kongo.
hapo umepigwa na wahusika wazazi pia.

hakuna mzazi wa bongo akatae mahali.

na ikiwa mahali hukupeleka ni kwambq huna uhalali naye.

nahisi unazo pesa za mboga walikufanya mgodi.
Ndio ndugu yangu kinacho ni huma mimi
Pamoja na vituko vyote Ivo bado na mpenda

Na jaribu kumwambia ana ni wekea kiburi
Ndo nataka kudai pesa zangu
 
Back
Top Bottom