Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.
Wakati naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi afu kwa mbaali nikamsikia anasema Alexiiiiii (kwa...
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Nimetumia njia nyingi Sana za kumshawishi kutengeneza mazingira ya kupata Raha ya penzi lakini wapi hugoma kabsa tuwapo...
Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you?
My father simply couldn’t accept that someone as good looking as my wif’ wouldn’t be cheating on me at every opportunity, a wave of...
Habari wakuu natumaini hamjambo
Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua tu niwe muaminifu kwa mke wangu ili azidi kuniamini kama mume wake yafuatayo ndio niliyo yafanya ili kuongeza uaminifu
1: Kuna rafiki yangu alikuja kuniambia kamuona wife sehem yupo na jamaa wanakula bata kama siamini eti...
Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”...
Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne.
Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma ...
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399
Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...
Back then na uhuni wangu full kubadirisha mboga Kuna huyo mdada nilimchukulia poa saaana yani japo yeye alitokea kunipenda na kujitunza kwa ajiri yangu kwa maelezo yake.
Basi nilikua Sina hata idea ya kuja kumla ila nilitongoza tu bahati mbaya akanikubalia muhuni wa watu mtoto wa baba mchungaji...
Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU.
Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama basi kwenye sahani atajiwekea finyango 3 au 4 mimi na watoto anatuwekea moja moja.
Nikimwambia...
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe.
Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo msimamo wake unakuwa ule ule 'sili sijisikii'
Wakuu nifanyeje? Nimeshasema sana kuhusu tabia hii lakini...
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my...
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa.
Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka...
Leo ngoja nikusifie mtoto wa kipare, tulianza mahusiano nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikiwa chembamba cheusi sivutii nani angenitamani kipindi kile mtoto wa watu kigori cheupe kifupi kinene nilipokutongoza ukanikubalia thax mama be blessed my dear.
Nikapata kazi baada ya chuo tukawa pamoja...
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP...
Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona
mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku
sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa...
Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita...
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia...
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.