akilindefu
Member
- Sep 5, 2020
- 69
- 63
Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba.
Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae maisha yakaendelea badae Yule binti akaenda kwetu kusalimia wakati huo Mimi sikuepo nyumbani yule binti alipofika pale akagoma kurudi kwao akidai anahitaj kuolewa na mimi akawa anatishia kujiua bas badae nikaanza kukaa nae naye
Sasa ndo vita na mzee wangu ambae alishatengana na mama ukaanza sasa hivi anatishia kunilaani kwamba kama sitoachana na huyo binti hatutopata mtoto wala hatutofanikiwa mama yeye anadai niendelee kukaa na binti na mpaka sasa huyo bunti anaumwa alifanyiwa operation akiwa kwangu ushauri wenu wakuu