mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amerudi nyumbani

    Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea. Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa...
  2. genau

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanikimbia

    Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...
  3. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

    Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne. Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu. Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda. Ndiyo...
  4. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Mke kuficha hati ya kiwanja/nyumba

    Wananzengo salamu kwenu. Kuna jambo nakaa nalifikiria sipati jibu na sijui mwenzangu anawaza nini na ana nia gani. Nilikuatana na huyu mwanamke mwaka 2011 nikiwa chuo na Yeye yupo tu kitaa baada ya muda akafanikiwa kupata kazi tukaendelea kuishi na kupata watoto hadi mwaka jana tulipofunga...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

    Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka. Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
  6. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

    Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga. Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza. Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia...
  7. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Sitosahau penzi la mwanamke tuliyekutana Malawi

    Habari wakuu! Leo nimemkumbuka mpenzi wangu tuliekutana mazingira tatanish kidogo. Nakumbuka mwaka2013 tulipata tenda nchini Malawi nilikutana na mtoto mmoja hivi kisura ni mzuri kaumbika yeye alikuwa mfanyakazi wa hotel. Yule manz kiukwel alikuwa fund kiufupi alikuwa inabana yaan ile kuingiza...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

    Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Habari wakuu wa kaya. Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha. Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. Amegoma kunisamehe...
  10. Kichochoro

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

    Habar wanajukwaa, Mimi ni baba wa mke mmoja wa ndoa na mtoto mmoja mwanzoni mwa mwezi February niliamua kuazisha mahusiano na mwanamke wa nje ya ndo yaan asiye Mke wangu tumekuwa tukisafri mikoa mbalimbali kwa Siri bila mama watoto wangu kujua. Mwezi june alinijuza kwamba anahisi kama ana...
  11. nover

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

    Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu...
  12. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Habari, Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa. Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa...
  13. Woga tupa kulee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  14. CAGvsSPEAKER

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mke wangu anaishi maisha ya kushindana na mimi

    Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao. Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu...
  15. Master Kutu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

    Habari ya leo wana jukwaa wenzangu, Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu. Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo...
  16. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

    Yaani iko hivi Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake. Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh...
  17. kingkongtz

    JamiiForums Tanzania Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

    Wakuu kwema.? Hope mko salama. Leo nimetimiza mwaka tangu nimeoa, Mungu ametubariki mtoto mmoja na anaendelea vizuri Nikiwa mwanaJF nimekutana na nyuzi nyingi zikiongelea suala la kuzama chumvini a.k.a kunyonya papuchi. Sasa juzi nikaona nitest na mimi kwa mke wangu nilimpa taarifa kuwa leo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namtamani rafiki wa mke wangu

    In short, ndoa ina miaka minne sasa na karibia tunapata mtoto. Tatizo rafiki zake mke wangu wa kike wanapokuja nyumbani hata kama ni wabaya kumzidi mke, mimi nakuwa nawatamani sana ata tunavyoangaliana. Huu ni ugonjwa au sijui ni nini, mimi sitaki kula vya karibu. Kwenu wakuu mnishauri...
  19. jaap

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka nimuhudumie kama mke wangu

    Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote. Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu. Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi...
  20. Kilawo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

    Tangu nimeoa saizi natimiza miaka saba ndani ya ndoa yetu na tumebahatika kupata watoto wawili. Lakini hapa karibuni mke wangu amepata habari kuwa nina mtoto mwingine ambaye nimezalia kwa mwanamke mwingine sasa ananisumbua sana anataka asepe kwao. UPDATE:jamani niwashukuru sana kwa ushauri...
Back
Top Bottom