Mke wangu nimemleta jana ila mpaka saiv hajarudi nyumbani

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona

mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku

sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa mbili na robo usiku hajarudi namtafuta kwenye simu anadai eti amekutana na rafiki zake aliosoma nao ndo yuko anapiga nao story

ko mimi sasaivi niko napika

hizi si dharau za kisenge hizi?
 
!
20220114_071254.jpg
 
Utafta dem wa fasta hapo ingiza ndani Vua nguo vaa bukta ubaki kifua wazi na yeye ajifunge kanga tu agiza msosi mpige mkimaliza mkae sebren mumsubiri sasa. Akija akagomba mwambie nimeona nikutaftie msaidizi wa majukum yako ya ndoa maana naona kama vile huyawezi
 
Back
Top Bottom