mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

    Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua. Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  3. exalioth

    JamiiForums Tanzania Kuishi na ndugu nyumba moja kunasababisha nashindwa kujiachia na mke wangu

    Moja Kwa Moja Kwenye Mada Hapa Sioni Ubaya Kuishi Na Ndugu Bali Nazungumuzia Ukiwa Na Ndugu Unaishi Nao Nyumbani Saa Nyingine Unakoswa Uhuru Wa Kujiachia Moja Kwa Moja. Kwaupande Wangu Naona Vizuri Ni Kuishi Na Familia Yako Pekeako Bila Mchanganyiko Wa Ndugu Wengine Kwasababu Naona Hata Mambo...
  4. Heci

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

    Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku. Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna...
  5. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Jumapili iliyopita mke wangu ameniadhirisha mno kanisani

    Nina muda mrefu sijaonekana jamvini, majukumu ni mengi sana. Kwa sasa mimi ni baba Gebbie, nastahili pongezi. Jumapili iliyopita baada ya ibada nilikuwa nasikiliza earphone. Mke wangu alinifanyia hujuma, kati kati ya waumini wengine alichomoa waya kwa siri na hivyo kufanya wengine wasikie wimbo...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  7. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nimekamata text hii kwa mke wangu. Hivi wanawake mna nini?

    Nimekamata txt hii kwa mke wangu, hivi wanawake mna nini?
  9. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu. Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu. Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba simu yangu aweke application ya business WhatsApp ili achart na marafiki zake nikamwambia sawa. Sasa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anaota ndoto anapigwa ngumi usoni

    Mke wangu ameota Leo usiku kuwa anapigwa ngumi na jitu limemkalia kifuani. Ameamka amekuta uso mzito unamuuma kama kapigwa kweli.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mama yangu anamchukia mke wangu

    Niliamua kuishi na mke wangu kwetu. Lakini mama yangu amekuwa changamoto kwa mke wangu. Tumeamua kuhama tumepanga bado anampigia mke wangu usiku na matusi juu. Lawama zilizidi kati ya ndugu kuja kwa mke wangu, mwisho mke wangu akawa hana amani. Tukaamua tuhame sasa mama muda wote anamjazia sms...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Jibu la mke wangu kwa mwanae baada ya kuulizwa swali gumu

    Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.
  13. Codeboy Breezy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mwanangu Juu ya Kaburi la Mke Wangu

    Mtunzi: Iddi Makengo BABA JOAN; MIMI NA MWANANGU JUU YA KABURI LA MKE WANGU!—SEHEMU YA KWANZA “Baba kwani na Mimi ni mchawi kama Mama?” Joan aliniuliza tena, wakati huo tulikua tunaweka mchanga juu ya jeneza la mke wangu. “Hapana mwanangu, wewe si mchawi, hata Mama yako hakuwa mchawi.”...
  14. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kajikuta FBI kwa bahati mbaya

    Ilikua ni siku tulivu tu Kama siku nyingine, basi shetani nae alikua kazini Kama kawaida yake. Kifupi mke wangu huyu hana tabia kabisa ya kushika simu yangu hadi majuzi alipo ingiwa na tamaa za kutaka kujua Kama yaliyomo yamo. Basi ni siku moja nyuma yake nilikua nimefanya muamala wa pesa kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Kwema wadau? Mke wangu amekua ana tatzo la kukoroma haswaa anakoroma utafirikiri mwanaume hii hali ya kukoroma ina tibika kweli Msaada kwenu
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

    Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari. Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

    Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
  18. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

    Mko fresh watu wa Mungu? Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not! Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepata tatizo la kutoa harufu ukeni

    Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote. Nilipohamia mkoani kikazi nimeanza hisi hii harufu baada ya muda kidogo tangu nihamie mkoani kikazi, bado ni msafi kwa...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii aliyoota mke wangu

    Mke wangu kaoota nyoka anamzuia kila akijaribu kupita njiani. Kila akijaribu kutafuta upenyo nyoka anaziba njia
Back
Top Bottom