mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba jayaron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichonitendea mke wangu sitosahau

    Asalaam, Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi. ila ya leo kiboko... Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani...
  2. Mia tisa itapendeza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

    Mimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi za kichina zilizotapakaa hapa jijini dar ambazo tunajenga nyumba mbalimbali za miradi ya jamii...
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Wadau nawasalimu, Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu, Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba. Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha...
  4. ibby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

    Habari za hizi saizi wanajamvi, Naombeni ushauri, Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any kind of mistake as human being tayari anakasirika fasta na anakwambia siendi tena nenda mwenyewe. So...
  5. Huntsman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

    Wana MMU, Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe. Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church...
  6. raphael linkala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Wadau heri ya mwaka mpya, Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu. Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri...
  7. jamii01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu habebeki...

    Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha. Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila...
Back
Top Bottom