Mke wangu nampenda ila nashindwa kujizuia nionapo warembo

Saad30

JF-Expert Member
May 26, 2020
1,790
3,591
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.

Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia mistari ya kuomba namba....Nikimaliza kupiga shoo tu namkumbuka sana MKE WANGU..

Huyu shetani alaaniwe tu hadi siku ya KIYAMA.
 
Pombe siyo chai kalale
 
Bora ww unakumbuka. Wengine hawakumbuki kabisa
 
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.

Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia mistari ya kuomba namba....Nikimaliza kupiga shoo tu namkumbuka sana MKE WANGU..

Huyu shetani alaaniwe tu hadi siku ya KIYAMA.
Shida hujafungiwa Spidi Gavana na Yesu.
 
Kijana wa hovyo....

Nayeye anakupenda,,, ila anashindwa kujizuia kwa masela wanaompiga sound..
Acha kuw mtu wa hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom