Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,271
21,433
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......

Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.

Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......

Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
 
Ndgu zanguni wa jf baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na huluka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kua la utani na upendo na c mind sana namimi humiita my......sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini ku hani pia na tulikua na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilo ni kera kwa mke wangu ni kuni fuata fuata kila napo enda kuka na ndgu kupiga stori na asipo niona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana mda wa kushangaaa au kushituka kabisa, kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya?.......sikumpa jibu la moja kwa moja. ..... sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivo mbele za watu hususani ndgu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasabb ana niita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri ni muanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Mzee pole Sana ,kweli sisi wanaume hatupendi hayo mambo kbsa ,mkeo naona yuko kimkakati zaidi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wangu na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugu zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au hata kuitana majina.
Sasa sijui kwako shida inatoka wapi?
 
Mzee pole Sana ,kweli sisi wanaume hatupendi hayo mambo kbsa ,mkeo naona yuko kimkakati zaidi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mke wake anataka kuionyesha jamii kwamba jamaa ni mume wake lakini bw mkubwa hataki jamii ijue hilo, my brother ungemuacha mjini tuu uende shamba mwenyewe

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndgu zanguni wa jf baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na huluka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kua la utani na upendo na c mind sana namimi humiita my......sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini ku hani pia na tulikua na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilo ni kera kwa mke wangu ni kuni fuata fuata kila napo enda kuka na ndgu kupiga stori na asipo niona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana mda wa kushangaaa au kushituka kabisa, kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya?.......sikumpa jibu la moja kwa moja. ..... sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivo mbele za watu hususani ndgu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasabb ana niita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri ni muanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Mzee hawa wahuni wasikujaze upepo hayo majina ukiitwa mbele ya kadamnasi huwa inasound kama UNAIBIWA hivi,yaani ni kama anakupaka mafuta Kwa mgongo wa chupa
anakwita hivyo kwani hajulikani kama ni mkeo?
Pole sana mzee,achana na hawa magentromen wa JF.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wng na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugi zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au ht kuitana majina.
sasa sijui kwako shida inatoka wapi?
Mtoa mada ni mpuuzi na wakupuuzwa.sabb hajielewi.
 
Back
Top Bottom