Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.

Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya. Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo (ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.

Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.
 
Kwani umeoa lini ndugu, maana September tuu hapo ulituambia wewe ni bachela.

Screenshot_20211106-162226.jpg
 
Wakili: Enhee tuelezee ilikuaje?

Shahidi: Siwezi kuelezea hapa mahakamani..

Wakili: Mh jaji naomba ailezee mahakama chanzo cha kumpiga mkewe mpaka akazirai..

Jaji: elezea ...

Shahidi: jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta

Wakili: mstari wa ikweta ndio nini?

Mahakama kichekooooo!!!!

Jaji:🤣🤣🤣🤣🤣

Wakili:🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Shahidi:😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.

Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya.! Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.

Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.!
Mchape makofi na wewe umwambie umezidiwa
 
Back
Top Bottom