Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.

Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
 
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumu usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo inashibishwa kweli kweli ila bado anata awekaribu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka utume sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa zima.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako
Hongera sana... huyo ni mke wa maana.
 
Pi
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.

Pole mkuu bora huyo inavumilika
 
Shukuru hivo rafk angu....siku akimpata mtu wakukusaidia utuletee mrejesho
 
Umepata mke mwema sana. Piga magoti hapo ulipo na umshukuru Mungu. Ukisikia wenzio mambo wanayopambana nayo huko kwenye ndoa nadhani ungewaomba mods tu waufute uzi huu.

Kimsingi wanawake wote wanapenda attention sema tu wengi wamejikatia tamaa kwa sababu ya waume zao kutojali. Na wanawake wengi walio katika ndoa wanachapwa nje sana siyo kwa ajili ya pesa bali kwa kupewa attention tu, kusikilizwa, kujaliwa na kuheshimiwa.

Narudia tena: wewe umepata mke mwema na anayekujali na kukupenda. Mhakikishie tu kuwa unampenda sana na kwamba upo kwa ajili yake mpaka kifo. Vizawadi vidogo vidogo na ukipata mwanya huko kazini mpigie...hata kama ni kusema tu "Niko mkutanoni lakini nilitaka tu kukukumbusha kuwa nakupenda sana mke wangu" na kukata simu inatosha. Na siku hiyo kama una kahela mkononi mchukulie kakitafunwa kake akapendako...hata kama ni kipande cha nanasi au chips (ili azidi kuwa bonge zaidi ). Ndoa zinahitaji kazi na una bahati huyo wa kwako angalau unajua anachohitaji ili kuwa na furaha. Wengine (hasa vimbaumbau) ni minuno tu na ghubu kwa kwenda mbele hata tatizo hulijui.

Akiona kuwa unamjali sana; na akawa na uhakika kuwa penzi lako kwake halijapungua; na kwamba huna wengine huko nje hata ukimwambia kuwa waifu leo naomba privacy kidogo nifanye hiki...na kibusu kidogo ukampa au ukamparaza kikofi chokonozi cha takoni - atakuelewa tu...na ukipata mwanya na wakati sahihi unaweza kuongea naye tu kwa ustaarabu kuhusu nawe kuwa na privacy yako sometimes. Atakuelewa...labda awe na matatizo mengine ya kisaikolojia.

Take care of that marriage my man. That's your duty na ukishindwa mabaharia watakusaidia...na wanajua kutoa attention na ku-care hao usiombe....Usiwape hiyo nafasi maadam unajua weakness ya mkeo!
 
Umepata mke mwema sana. Piga magoti hapo ulipo na umshukuru Mungu. Ukisikia wenzio mambo wanayopambana nayo huko kwenye ndoa nadhani ungewaomba mods tu waufute uzi huu.

Kimsingi wanawake wote wanapenda attention sema tu wengi wamejikatia tamaa kwa sababu ya waume zao kutojali. Na wanawake wengi walio katika ndoa wanachapwa nje sana siyo kwa ajili ya pesa bali kwa kupewa attention tu, kusikilizwa, kujaliwa na kuheshimiwa.

Narudia tena: wewe umepata mke mwema na anayekujali na kukupenda. Mhakikishie tu kuwa unampenda sana na kwamba upo kwa ajili yake mpaka kifo. Vizawadi vidogo vidogo na ukipata mwanya huko kazini mpigie...hata kama ni kusema tu "Niko mkutanoni lakini nilitaka tu kukukumbusha kuwa nakupenda sana mke wangu" na kukata simu inatosha. Na siku hiyo kama una kahela mkononi mchukulie kakitafunwa kake akapendako...hata kama ni kipande cha nanasi au chips (ili azidi kuwa bonge zaidi ). Ndoa zinahitaji kazi na una bahati huyo wa kwako angalau unajua anachohitaji ili kuwa na furaha. Wengine ni minuno tu na ghubu kwa kwenda mbele hata tatizo hulijui.

Akiona kuwa unamjali sana; na akawa na uhakika kuwa penzi lako kwake halijapungua; na kwamba huna wengine huko nje hata ukimwambia kuwa waifu leo naomba privacy kidogo nifanye hiki...na kibusu kidogo ukampa au ukamparaza kikofi chokonozi cha takoni - atakuelewa tu...na ukipata mwanya na wakati sahihi unaweza kuongea naye tu kwa ustaarabu kuhusu nawe kuwa na privacy yako sometimes. Na atakuelewa tu.

Take care of that marriage my man. That's your duty na ukishindwa mabaharia watakusaidia...na wanajua kutoa attention na ku-care hao usiombe....Usiwape hiyo nafasi maadam unajua weakness ya mkeo!
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
 
Umepata mke mwema sana. Piga magoti hapo ulipo na umshukuru Mungu. Ukisikia wenzio mambo wanayopambana nayo huko kwenye ndoa nadhani ungewaomba mods tu waufute uzi huu.

Kimsingi wanawake wote wanapenda attention sema tu wengi wamejikatia tamaa kwa sababu ya waume zao kutojali. Na wanawake wengi walio katika ndoa wanachapwa nje sana siyo kwa ajili ya pesa bali kwa kupewa attention tu, kusikilizwa, kujaliwa na kuheshimiwa.

Narudia tena: wewe umepata mke mwema na anayekujali na kukupenda. Mhakikishie tu kuwa unampenda sana na kwamba upo kwa ajili yake mpaka kifo. Vizawadi vidogo vidogo na ukipata mwanya huko kazini mpigie...hata kama ni kusema tu "Niko mkutanoni lakini nilitaka tu kukukumbusha kuwa nakupenda sana mke wangu" na kukata simu inatosha. Na siku hiyo kama una kahela mkononi mchukulie kakitafunwa kake akapendako...hata kama ni kipande cha nanasi au chips (ili azidi kuwa bonge zaidi ). Ndoa zinahitaji kazi na una bahati huyo wa kwako angalau unajua anachohitaji ili kuwa na furaha. Wengine ni minuno tu na ghubu kwa kwenda mbele hata tatizo hulijui.

Akiona kuwa unamjali sana; na akawa na uhakika kuwa penzi lako kwake halijapungua; na kwamba huna wengine huko nje hata ukimwambia kuwa waifu leo naomba privacy kidogo nifanye hiki...na kibusu kidogo ukampa au ukamparaza kikofi chokonozi cha takoni - atakuelewa tu...na ukipata mwanya na wakati sahihi unaweza kuongea naye tu kwa ustaarabu kuhusu nawe kuwa na privacy yako sometimes. Atakuelewa!

Take care of that marriage my man. That's your duty na ukishindwa mabaharia watakusaidia...na wanajua kutoa attention na ku-care hao usiombe....Usiwape hiyo nafasi maadam unajua weakness ya mkeo!
Nakazia hapa
 
Back
Top Bottom