Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,874
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP Maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.l,anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” .NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU kmmke mpaka sasa nipo TABORA nae nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu
Hahahahah😆😇🤣 sina mbavu kabisa…
 
Unashindwa kumuuliza Mkeo kwanini amekusave Mb2a? Basis kweli wewe no Mbwà!
 
Hizi ndoa za siku hizi shida. Mnaanza vizuri. Ma love love mwishoe ni huu. Yawezekana sherehe ilikuwa ya kufa mtu. Pete nguo na hata mipango kabambe ya maisha. Wengine mpaka wazazi labda walitoa magari apartments nyumba hata biz iliyosimama.
Halafu kuishia kuitana mbwa?!
Watarajiwa watafakari kwa kweli….
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP Maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.l,anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” .NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU kmmke mpaka sasa nipo TABORA nae nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu

1. Mtoto haandaliwi Kwa kuchezea simu.
2. Ina maana haushiki simu yake Kabisa

Wewe Ni fala!
 
We ni mlinzi na shukutu mbwa huyo hajapewa jina baya ....ila mbwa hakomi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom