Tundu Lissu, jambo lingine ambalo hatukuwahi kuliona enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hili hapa, usiache kulisema kumsaidia kampeni JPM

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
655
1,000
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni yaliyofanywa na JPM ili umsadie kwenye Kampeni zake.

Fanya hivyo Ndugu yangu ili kumsadia kuweka evidence wazi kuwa yeye amefanya mengi na mazuri ambayo hayakufanywa na watangulizi wake ambao hawakuwa na maono kama yake. Tafadhali ninakuomba usisahau kulisema hili na mengine mengi ambayo tutaendelea kukujuza.

Jana uliingia Shinyanga na ukaenda Kahama, Pls usisahau kuja na huku Kishapu, specifically hapa Idukilo, tena njia ya karibu ni kupitia Maganzo (tutaanza kukupokea kwa hapo). Ili ushuhudie na Mgodi wa Mwadui unavyoliwa na mabeberu ambao hawatakiwi na Serikali ya JPM.

Tila Lila - Idukilo - Kishapu -Shinyanga kwetu!
 
Kilawo

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
974
1,000
Mwaka huuu Ndo mtaona Lissu atawafunza siasa Damu zitachuruzika.Ikulu sio ya Ccm mjomba
 
Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,281
2,000
Inasemekana ameingia bwana Kesi
Tutashitakiwa tu.

Kama kuna mtu anabisha a bet
Tulituliaaa, sasa kila kosa tukijichanganya network itasoma mnara upo ndani.

Hivi zile heka 700 za yule jamaa taratibu ziko sawa? Kesi hiyo,
bwana Kesi yupo bora kijiji kikose lkn mashamba awe na wajanja tu
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,059
2,000
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni yaliyofanywa na JPM ili umsadie kwenye Kampeni zake.

Fanya hivyo Ndugu yangu ili kumsadia kuweka evidence wazi kuwa yeye amefanya mengi na mazuri ambayo hayakufanywa na watangulizi wake ambao hawakuwa na maono kama yake. Tafadhali ninakuomba usisahau kulisema hili na mengine mengi ambayo tutaendelea kukujuza.

Jana uliingia Shinyanga na ukaenda Kahama, Pls usisahau kuja na huku Kishapu, specifically hapa Idukilo, tena njia ya karibu ni kupitia Maganzo (tutaanza kukupokea kwa hapo). Ili ushuhudie na Mgodi wa Mwadui unavyoliwa na mabeberu ambao hawatakiwi na Serikali ya JPM.

Tila Lila - Idukilo - Kishapu -Shinyanga kwetu!
Safari zake zinaratibiwa na viongozi wa labda kama wako huku wamekusikia
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,955
2,000
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni yaliyofanywa na JPM ili umsadie kwenye Kampeni zake.

Fanya hivyo Ndugu yangu ili kumsadia kuweka evidence wazi kuwa yeye amefanya mengi na mazuri ambayo hayakufanywa na watangulizi wake ambao hawakuwa na maono kama yake. Tafadhali ninakuomba usisahau kulisema hili na mengine mengi ambayo tutaendelea kukujuza.

Jana uliingia Shinyanga na ukaenda Kahama, Pls usisahau kuja na huku Kishapu, specifically hapa Idukilo, tena njia ya karibu ni kupitia Maganzo (tutaanza kukupokea kwa hapo). Ili ushuhudie na Mgodi wa Mwadui unavyoliwa na mabeberu ambao hawatakiwi na Serikali ya JPM.

Tila Lila - Idukilo - Kishapu -Shinyanga kwetu!
Sahihi, kuna rekodi Magufuli amevunja lakini wasaidizi wake kwa roho zao mbaya hawazitangazi.
 
Wamabere

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
1,048
2,000
Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni yaliyofanywa na JPM ili umsadie kwenye Kampeni zake.

Fanya hivyo Ndugu yangu ili kumsadia kuweka evidence wazi kuwa yeye amefanya mengi na mazuri ambayo hayakufanywa na watangulizi wake ambao hawakuwa na maono kama yake. Tafadhali ninakuomba usisahau kulisema hili na mengine mengi ambayo tutaendelea kukujuza.

Jana uliingia Shinyanga na ukaenda Kahama, Pls usisahau kuja na huku Kishapu, specifically hapa Idukilo, tena njia ya karibu ni kupitia Maganzo (tutaanza kukupokea kwa hapo). Ili ushuhudie na Mgodi wa Mwadui unavyoliwa na mabeberu ambao hawatakiwi na Serikali ya JPM.

Tila Lila - Idukilo - Kishapu -Shinyanga kwetu!
Nyongeza ya mshahara sio automatic kama wewe ni legelege hujitumi unangoja nyingeza ya bure tija itatoka wapi?
 
Tressa

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
688
1,000
Hahaaa watu wanadhani eti TL akiwa Rais ndio atamaliza shida zao,thubutuuu wanasiasa ni wale tu.
Tena afadhali Magufuli hana tamaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom