Video: Hivi ndivyo TID alivyomlilia Rais Mstaafu Mkapa, inasikitisha sana

20200519_131948.jpg
 
Hahah.. Kulia ni hisia inayojitegemea kiasi inaweza kukufanya kuishiwa nguvu na kupoteza fahamu lkn ndgu unalia na wakati huohuo umeshika simu unajirekodi means unalia ila akili iko kwenye simu
 
Majonzi mengine hayavumiliki kwakweli inabidi tu ucheke
Wengine misibani wanaliaga kama wanacheka,hao ndo sampuli ya kina Tid.
 
Back
Top Bottom