Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 13,589
- 19,659
Katika hali ya Kawaida, msikitini ni pahala patakatifu pa kumwabudu mungu na kanisani ni pahala pa kumwabudu Mungu.
Tangu tupate uhuru 1961, December, Tanganyika haijawahi kutokea Nyerere akiwa Waziri mkuu wa Kwanza, mpaka akafikia urais, Mwinyi kuanzia 1984-1995, Mkapa 1995-2005, Kikwete 2005-2015 hakuna hataa mmoja wao aliyetumia madhabahu ya Mungu kuhutubia wananchi ambao hata hawahusiani na hizo dini, na kulazimisha kila misa na mahubiri yakii sha kuingia madhabahuni.
Hii haipo kwenye liturujia ya KAtoliki wala waislamu, na mtu anapanda madhabahuni huku mikono yake ikiw na visasi, na mengine mengi,"wajumbe" tukumbushane huyu aliyeko sasa, ni lini alienda kanisani akaacha kungangania kupewa maiki?
Ni lini mliwahi kuona marais waliomtangulia wakiwa na misafara ya usalama kanisani?
Utawala umekosa presidential briefing, yaani Msigwa anakuja na habari zake huko toka Ikulu na waandishi hawana la kuhoji, thats absurd.
Anajihami kupigana vita ya kiuchumi lakini ajue tu hakuna vita ya mtu mmoja, ndio mwanzo wa ugonjwa wa moyo.
Nani kamwona Kikwete akiongelea mambo ya kitaifa msikiti wa Kinondoni?