Kwakuwa tuna Nyerere Day, napendekeza pia tuwe na Mkapa Day

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kwa kuwa Tayari tuna Nyerere day, siku ambayo hutumika Kama kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Tanzania, napendekeza pia kuwe na Mkapa Day ili kila mwaka Taifa liweze kusherehekea kumbukumbu ya kifo cha Rais huyu wa awamu ya tatu.

Wote walikuwa Marais hivyo lazima tuwaenzi bila ubaguzi
 
Back
Top Bottom