Ushauri: Tuwe na Mkapa Day

dndagula

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
465
500
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.

Hayo ni mawazo tu ya mtu mzalendo na aliyeguswa na msiba huu.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,463
2,000
dndagula,

Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.

Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi. Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.

Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita "Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?

Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!

Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!

P
 
Bendanda

JF-Expert Member
Jun 25, 2020
238
250
Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.

Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi.
Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.

Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita " Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?!.

Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni!, halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!.

Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!.
P
Umeandika vyema
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
41,348
2,000
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day,hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005. Hayo ni mawazo tu ya mtu mzalendo na aliyeguswa na msiba huu.
Nyerere day inatosha
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
41,348
2,000
Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.

Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi.
Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.

Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita " Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?!.

Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni!, halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!.

Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!.
P
Huyu jamaa alikuwa bonge la kiongozi lakini kumbe ambao tulikuwa ni watoto kwenye utawala wake mengi hatukuyajua.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,549
2,000
dndagula,

Wazo zuri sana. Ingefaa iwe siku ile yalipotokea mauaji ya wale Wazanzibar January 2001.

Ni mtizamo tuu kama mzalendo, maana hata siku ya mtoto wa Afrika imeteuliwa kuwa ile iliyotokea mauaji ya watoto kule Soweto SA
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,549
2,000
Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.

Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi.
Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.

Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita " Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?!.

Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni!, halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!.

Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!.
P
"Machozi ya mamba"? Haki ya nani Pascal Mayalla nawe umeamua kama JK, hivi unajua lakini tofauti yako na JK? Mwenzako ana kinga ya uzee na kaheshima ka ustaafu lakini wewe jee?
Kama Ndungai na kamati yake tuu walikuchezesha paredi sijui kwa hapa ulipoanzisha itakuwaje!
Machozi ya mamba?
 
Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
643
1,000
Hiyo siku itakuwa inatukumbusha ndugu zetu wa Pemba na Mwembechai! M/Mungu ampe kinachostahili kule alipokwenda.
 
Jamalm335

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,445
2,000
Mimi nilidhani kwa sifa alizomwagia marehemu baada ya mauti yake kutangazwa tungepewa mapumziko japo siku ya mazishi yake. Kama hilo halijatokea basi sahau hiyo Mkapa Day. Jana ndio ilikuwa hitimisho rasmi la uwepo wake hapa duniani.
 
Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
1,754
2,000
Mawazo yako peleka kwa wajumbe lumumba Street watakuelewa sana tu
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.

Hayo ni mawazo tu ya mtu mzalendo na aliyeguswa na msiba huu.
 
katib mkoa

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,544
2,000
dndagula,

Naunga mkono hoja, ila hili pia tulitungie sheria kama ilivyo picha ya rais kwenye fedha, iliishia kwa rais Nyerere na Mwinyi.

Siku za viongozi wa kitaifa zimeishia kwa Nyerere na Karume kama Waasisi. Tusisibiri hadi viongozi hawa watangulie mbele ya haki ndipo tutambue mchango wao na kuwaenzi, kama wafanyavyo Wakatoliki kwenye canonisation process, bali tuwaenzi wangali hai kwa kutenga siku maalum ya kuwa reflects not necessarily lazima iwe ni public holiday.

Mkapa ni baba wa Demokrasia, tutenge siku, tumreflect Mkapa, kwa kuita "Benjamin Mkapa Democracy Day" to reflect demokrasia aliyoiamini Mkapa, tuwaalike viongozi waliopo na 'watu wa maswali magumu', wawasute viongozi wanaolia 'machozi ya mamba' tuwaulize au tuwasute kwanini wanamlilia Mkapa kwa uchungu na kumsifu sana sasa baada ya kutangulia mbele ya haki lakini wakati yuko hai, hawakumuishi?

Demokrasia ya kweli inajengwa kwa kutoa haki kwa wote, Mkapa na Kikwete kwa kuzingatia uchanga wa demokrasia ya vyama vingi, kwenye nafasi zao za uteuzi wa wabunge 10 wa kuteuliwa na rais, waliteua wabunge wawili kutoka upinzani, sasa subirieni muone ni wapinzani wangapi watapenya uchaguzi wa 2020 na kuingia Bungeni halafu shuhudieni jinsi watu wanavyo muishi Mkapa kwenye demokrasia!

Watu wamemlilia Mkapa kwa machozi ya uchungu, naomba uchungu ule sasa uelekezwe kwenye kumuishi na kuyatenda yale Mkapa aliyo yaamini, vinginevyo baadhi ya machozi ya waliomlilia Mkapa, ni machozi ya mamba!

P
wewe "WAJUMBE" ndo wanakuweza.
 
mbinguni

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
2,462
2,000
Kutokana na mambo mengi makubwa ya mageuzi ya kijamii na kiuchumi hapa nchini. Ninashauri itengwe siku moja na kuitwa MKAPA DAY mfano siku ya Utumishi wa Umma- Public Service Day, hii ni kumuenzi kutokana na mageuzi na maboresho aliyoyaasisi kwenye Utumishi wa Umma miaka ya 1995-2005.

Hayo ni mawazo tu ya mtu mzalendo na aliyeguswa na msiba huu.
Napendekeza zifutwe zote. Hazina tija yoyote kwa raia maskini asiepata huduma bora za kijamii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom