Nawapa Kongole ITV ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,713
2,000
Ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa ITV wamejitahidi sana kumtendea haki. Wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili, utakuta habari nne mfululizo ni habari za msiba wa Mzee Mkapa.

Utaona habari watu wapo uwanjani wakiaga, utaona habari nyingine watu mkoani Tanga wakitoa maoni juu ya kufiwa mkazi wao, utaona habari nyingine wananchi wa Dar wakitoa maoni yao, utaona habari nyingine Magufuli akitoa maoni yake uwanjani, utaona habari nyingine waliofanya kazi na Rais Mkapa wakitoa maoni yao.

Habari hizi zote zipo ktk taarifa ya habari ya wakati mmoja yaani saa mbili. Kwa kweli ITV mnastahili Kongole kipindi chote hiki kwani habari kuu ni Mzee Mkapa huku habari nyingine mkitoa kwa uduchu Sana Kama sio kupotezea kabisa. Hali ilikuwa hivyo karibu siku zote za kuaga hadi kumzika Rais wetu mstaafu Mkapa.

Hongereni ITV The SuperBrand Africa Mashariki.
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,734
2,000
Watu wa hapa hawakawii kukuambia unaipigia promo sababu wewe unafanya kazi pale.
 
msondomba

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,329
2,000
Ktk kipindi chote cha Msiba wa Mzee Mkapa ITV wamejitahidi sana kumtendea haki. Wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili, utakuta habari nne mfululizo ni habari za msiba wa Mzee Mkapa.

Utaona habari watu wapo uwanjani wakiaga, utaona habari nyingine watu mkoani Tanga wakitoa maoni juu ya kufiwa mkazi wao, utaona habari nyingine wananchi wa Dar wakitoa maoni yao, utaona habari nyingine Magufuli akitoa maoni yake uwanjani, utaona habari nyingine waliofanya kazi na Rais Mkapa wakitoa maoni yao.

Habari hizi zote zipo ktk taarifa ya habari ya wakati mmoja yaani saa mbili. Kwa kweli ITV mnastahili Kongole kipindi chote hiki kwani habari kuu ni Mzee Mkapa huku habari nyingine mkitoa kwa uduchu Sana Kama sio kupotezea kabisa. Hali ilikuwa hivyo karibu siku zote za kuaga hadi kumzika Rais wetu mstaafu Mkapa.

Hongereni ITV The SuperBrand Africa Mashariki.
Abiel Mengi naye alikuepo mpaka Lupaso tena alitambulishwa kama Mwenyekiti mtendaji wa Ipp ya baba ake...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom