mimi

  1. Hivi mimi superbug sifa yangu kuu humu JAMIIFORUM ni ipi?

    Bila kunificha hebu niambieni Mimi superbug Nina sifa gani kuu ? Au mnanikubali kwa lipi? Au hamnikubali kwa lipi? Mimi ni Kati ya member maarufu Sana jf Sasa hebu niambieni nyie mnanionaje onaje Yani?
  2. Kauli yenye akili ya Simbachawene: Mh Rais mimi sina nyota hata moja hivyo jukumu la kuvisimamia vyombo vya dola ni lako Amiri Jeshi mkuu

    Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa...
  3. K

    Naomba kubadilishana kituo cha kazi

    Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa, kwa taarifa njoo PM
  4. T

    Safiri na mimi Arusha to Dar 8th Jan,2020

    Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi.
  5. Intellectuals wengi hurudi kufundisha, na siyo kucheza peek a boo (kombolela) na mimi nipo!

    Peek a boo kwa wasiofahamu ni mchezo wa watoto wa kujificha ni kama komborela fulani, sasa kwa kawaida komborela hucheza watoto na ukiona mtu mzima ambaye na msomi” anacheza peek a boo, kwamba jamani msinisahau na mimi nipo pia muhimu nijadilini, basi ujue kuna tatizo mahali, kwa kawaida...
  6. Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

    Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote. Mungu atatenda at some point I'm sure!
  7. Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
  8. Nataka kuwa Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?

    Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
  9. Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  10. S

    Nionavyo mimi na kusema kupitia kalamu yangu ya JamiiForums

    "One of the big problems of this country is that, the smart and the intelligent people in this country have only forums to express their views and ideas; whereas, the less intelligent, have not only forums to express their views and ideas, but also have non-written powers and mandate to misuse...
  11. Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

    Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
  12. Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

    Kusema ukweli tangu nazaliwa sijui kitu inaitwa club au disco naskiaga tu hii kitu ila binafsi sijawahi kabisa kwenda disco nikajua kupoje au huwa kunakuaje,ninachokumbuka nikiwa shule moro kuna Shule yetu ilikua ni ya boys tupu (st fransis) ila pembeni ya shule yetu mtaa huo huo kuna shule...
  13. M

    Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari. Natafuta kazi

    Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka Chuo cha Ualimu Klerruu-Iringa. Pia nina ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha. Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anayetamani nifanye nae kazi ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…