mimi

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

    Habari zenu wana-MMU. Nataka maoni yenu katika hili swala. Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa. Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto katika maisha yangu yote ila nataka kuoa niwe na mke TU. Hii ni kawaida sana kwa nchi za ulaya na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete. Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sichukii kuzaliwa Mwafrika wala sichukii kuzaliwa Afrika; nachukia kutojikubali kuwa mimi ni Mwafrika

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, Katika kipindi chote nilichoishi hapa duniani nimeweza kupata kujua mwafrika ni mtu wa namna gani. Mwafrika anajichukia sana ila mwafrika amepewa nguvu na akili nyingi licha ya kwamba yeye mwenyewe halijui hilo, sio kwamba hajui kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano 1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe. 2. kutunyima...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mimi siko tayari kuwa miongoni mwa watakaosema "I am sorry Magufuli"

    Waungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania. Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kimawazo: Nimezaa na mwanamke ambaye anaishi na mwanaume. Mtoto kazaliwa copyright na mimi

    Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au? Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

    RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mfanyakazi wa Serikali nimeshachoka kulazimishwa kuhudhuria mikutano ya CCM

    Na sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na kubwa liliopo mjini ni mchosho unaosababishwa na wagombea wa CCM,ni lazima uhudhurie mikutano yao,eti...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

    Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea. Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

    Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola. Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi. Kampeni kwao zimejikita zaidi kwenye u imimi sio chama ndio maana tunaona hata vyama vingine kama Chadema...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania siyo wapenzi wa kujisomea?

    Nimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea? Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…