mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuwa mfupi au kuwa na mwonekano mbaya haimaniishi hautafanikiwa, endelea kujikubali na kujipa thamani

    Kuna jambo katika nchi yetu lipo mtu akijiona mfupi au kuwa mlemavu anaamini yeye safari yake ya MAISHA haitokuwa na MAFANIKIO hii sio Kweli ni upotovu. Katika MAISHA ili ufanikiwe unahitaji zaidi utimamu wa kiakili na kulivaa tumaini hata wakati Akili yako na Mwili vitakapokuwa havina Nguvu ya...
  4. w0rM

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Waraka mfupi wa maombi, toka kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jami kwenda kwa Waziri wa Afya

    Copy and Pasted WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER). Kwa Waziri wa afya Katibu mkuu wizara ya Afya, Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya, Kwanza kabisa...
  6. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanmke anaekimbilia kuvunja ndoa kisa mali furaha yake hudumu kwa muda mfupi kwenye nyumba isiyo na mume wa kumheshimisha kwenye jamii

    Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi waliyofanya baada ya muda kwenda Mbaya zaidi umri umeenda hata soko la kuolewa linakuwa limeshuka...
  7. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafanyaje kama mtoto wa rafiki yako wa karibu anatoka kimapenzi na ex-wife wako mliodumu wa miaka zaidi ya 20 muda mfupi baada ya nyie kuachana

    Hawa viumbe lile shimo lao linafanya wakose na watukosee heshima wanaume na familia zao. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi mvulia pichu mtoto wa shemeji yake ambaye alishiriki hadi kumlea. Hii ni true story, Mtoto wa Michael Jordan aitwae Marcus Jordan anatoka kimapenzi na ex-wife wa rafiki...
  8. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

    Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi. Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za...
  9. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

    Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au? Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana. Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  11. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

    Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi Money penny: kwahiyo unasemaje? Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
  12. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi. Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kwa mtaji wa 150k nipate faida ya 100k ndani ya muda mfupi?

    Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara. NB; Sitaki habari ya betting
  16. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu kumbe ni mfupi

    Lakini mmmmhMadem huwa hatupendi short
  17. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mashirika ya kibiashara ya Umma

    Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa ushauri wangu walau kwa jambo moja tu kwa leo. Ni kuhusu shirika la ndege ATCL. Ukweli unaojulikana na...
  18. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

    Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee. Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5. Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba acheni uvivu nendeni mpige kura kwa Chama muda umebaki mfupi

    Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa. Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa kumbe kuna Siri Kubwa imejificha pale Rais akiteua na kutengua muda mfupi. Naomba niijue tafadhali

    GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
Back
Top Bottom