Utafanyaje kama mtoto wa rafiki yako wa karibu anatoka kimapenzi na ex-wife wako mliodumu wa miaka zaidi ya 20 muda mfupi baada ya nyie kuachana

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Hawa viumbe lile shimo lao linafanya wakose na watukosee heshima wanaume na familia zao. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi mvulia pichu mtoto wa shemeji yake ambaye alishiriki hadi kumlea.

Hii ni true story,

Mtoto wa Michael Jordan aitwae Marcus Jordan anatoka kimapenzi na ex-wife wa rafiki na teammate wa baba ake (Scottie pippen).

Larsa pippen exwife wa scottie pippen ambae kapata kila kitu tunachomjulia leo kutoka kwa mumewe Scottie pippen yeye kaamua kutembea na mtoto wa rafiki kipenzi wa mume wake.

Hawa viumbe wamezidisha ujinga, story kama hii hii inataka kutokea tena hapa bongo, bado tunasubiri vielelezo.

Ngoja nikatafute gun permit (nje ya mada)
 
Kumbe ni mbele nikajua ni bongo hapahapa.

Huko hilo ni la kawaida kwao, kama baba mtu anabadili kua Ke na mama mtu anajibadili kua Me. Sasa hilo la umri na mahusiano sio shida kwao.

Ukizingatia wao hawana undugulization kama sisi.
 
Ameona na kuchezea tupu ya baba hadi akaomba talaka.Hatosheki,anataka aendeleze libeneke kwa mtoto wa ex wake!Sijui niite ni laana au ushenzi uliopea hadhi.
 
Kumbe ni mbele nikajua ni bongo hapahapa.
Huko hilo ni la kawaida kwao, kama baba mtu anabadili kua Ke na mama mtu anajibadili kua Me. Sasa hilo la umri na mahusiano sio shida kwao.

Ukizingatia wao hawana undugulization kama sisi.
Hizo ni siri za familia brother, ungeyajua ya kwenye hizi familia za kiswahili. Hili la kawaida sana
 
Soma vzr hio story.

Hii issue inataka kutokea hapa bongo, mwanamke kapewa talaka kaachiwa na mali kadha wa kadha lkn story zilizopo kwa mtaa kuna dogo wa rafiki yake anatomber pale mwaka wa tatu huu
 
Soma vzr hio story.

Hii issue inataka kutokea hapa bongo, mwanamke kapewa talaka kaachiwa na mali kadha wa kadha lkn story zilizopo kwa mtaa kuna dogo wa rafiki yake anatomber pale mwaka wa tatu huu
Basi tunasubiri hilo la mtaani kwenu lilipuke.

Ila kwa mimi sioni kama ni shida maana mmoja ni ke na mwingine ni me, ni watu wazima. Kwanini kiwe kitu cha ajabu??

Tangu lini umeanza kusikia watu wazima wakidate na wadogo kwao, ni kitambo. Na pia hao sio ndgu kwanini iwe ajabu?

Wewe na rafiki yako sio ndgu, mke ulimuacha na kumpa talaka kwanini uumie kwa maamuzi yake? Bado unampenda?
 
Hizo ni siri za familia brother, ungeyajua ya kwenye hizi familia za kiswahili. Hili la kawaida sana
Jamaa alishampa talaka mkewe kwa maana hiyo mke ana maamuzi ya kua na yeyote hata angekua baba wa jamaa.
 
Jamaa alishampa talaka mkewe kwa maana hiyo mke ana maamuzi ya kua na yeyote hata angekua baba wa jamaa.
Ni kweli ila kwa familia za kiswahili hata bila taraka, usishangae mke anatembea na wakwe na mume anazunguka familia nzima kuanzia mkwe hadi mashemeji. Cha msingi tunafichiana aibu ili familia isichukuliwe vibaya
 
Back
Top Bottom