mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. my name is my name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo bado nusu nipigwe na mtu mfupi

    Leo nilikua sehem fulani asa nilikua nimekaa kwenye kiti wakati nimekaa nikawa naweka kitu kwenye meza iliokua nyuma yangu bila kugeuka kuangalia kwanza 😂 Kumbe karibu na ile meza kulikua na kaka mmoja mfupi si nikamgusa kichwani, acha apige kelele "wee dada kua makini" mi nikamwambia samahani...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Shirika la kijasusi la Urusi, FSB limesema Warusi walio ondoka Urusi watimia milioni 4 ndani ya muda mfupi - hakukaliki

    Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu.... FSB wameanza kutisha familia zao wawashawishi warudi, la kushangaza kunao wametorokea Ukraine kule ambapo kichaa Putin...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula akatwa na kioo mkononi muda mfupi kabla ya mechi dhidi ya Geita Gold

    Kipa wa Simba, Aishi Manula amepata majeraha ya kukatwa na kioo kwenye mkono akiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Geita Gold, leo Mei 22, 2022. Tukio hilo limetokea wakati Manula akiwa ni mmoja wa...
  4. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burudani: Freshley Mwamburi asherekea miaka 30 ya Stellah kurudi Kenya akiwa na mchumba Mjapani mfupi futi 4

    Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man. The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'. The record is a love/hate story wonderfully put together. And every year on May 17, Kenyans...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

    Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana. Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa. TUNAKWAMA WAPI...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amefanya mahojiano kwa muda mfupi, CHADEMA wamebaki wamechanganyikiwa kabisa, hakika huyu ni kiboko yao

    Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka. Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA. Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa. Hakika huyu Dk siku...
  8. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba.. i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge.. Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
  9. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda atumia siku ya wanawake kueleza makubwa yaliyofanywa na Rais Samia

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amesema kwa muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia Suluhu, Wilaya yake imepokea Mabilioni ya fedha ambayo hayakuwahi kuletwa kwenye maendeleo kwenye Wilaya hiyo. Mhe. Mwenda ameyasema hayo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati...
  10. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Kuna mchezaji mfupi wa kumzidi Mathieu Valbuena?

    Leo tuwakumbuke wachezaji ambao ni wafupi mno lakini wamewahi kusakata kabumbu vizuri sana, kuna huyu Valbuena, tuendelee na list
  11. masara

    JamiiForums Tanzania Ikitokea unawaza kwa sauti juu ya mabadiliko yaliyotokea uongozi wa awamu ya tano na ya sita, kwa huu muda mfupi unafikiri tutasikia maneno

    Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuremba kwa gharama kubwa makaburi ya wapendwa wetu?

    Kuyaremba ninakomaanisha hapa ni kuyaweka nakshi nakshi za kila aina, Mbwembwe nyingi, kuyapiga Picha na Kuwaringishia Watu Mitandaoni mpaka kutaka hata kuyawekea Taa na AC ndani yake. Na kinachonishangaza na kuniachia Maswali mengi ni pale ninapoona Msiba fulani Kaburi linafanyiwa Mbwembwe...
  14. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, kusahau ndoto uliyoota muda mfupi kabda ya kuamka huwa ni kawaida?

    Habari za Jumatatu wana JF Kwa ninavyoelewa ndoto zina maelezo tofauti kwa watu tofauti. Kuna fikra kadhaa lakini kubwa ni mbili Fikra(school of thought) ya kwanza wanasema ndoto ni matokeo ya mawazo yako au mambo unayoyafikiria sana au marudio ya vitu ambavyo ulishawahi kuvifanya zamani...
  16. vivian

    JamiiForums Tanzania Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Chandra Bahadur Dangi mwanaume mfupi zaidi duniani aliyewahi kuingia kwenye rekodi ya Guinness

    Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
  19. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Bunge lisilaumiwe kwa kupitisha sheria ambazo baada ya muda mfupi zinarudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa. Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati...
  20. msovero

    JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
Back
Top Bottom