Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA, ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai.
Lakini amesema viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama, hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla...
Aslalekum,
Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi.
Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki.
Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis...
Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla.
Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.
Shughuli za kiuchumi zilichangamka kiasi chake.
Baada ya kusimamishwa shughuli...
Naandika uzi huu kwa masikitiko sana. Mheshimiwa kabla ya kuwa mbunge alikuwa mkuu wa mkoa Manyara. Wakati huo alifanya ujenzi na akampa kazi ya nondo kijana mmoja pale Misungwi. Yuke kijana alipata loss akashindwa kumaliza ile kazi. Cha kusikitisha ni kuwa Mkuu wa mkoa wa Manyara kwa wakati huo...
Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?
Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa...
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.
Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.
Huku majimboni pia kwa kuwa...
Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.
Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama
Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM.
Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka...
Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.
Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja...
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
Kwanza kabisa nataka kukupongeza kwa ushindi wa kishindo ambao umeupata,wewe pamoja na raisi wako wa JMT Raisi JPM kwa ushindi wenu na chama kwa ujumla. Najua unakazi ngumu sana ya kulijenga na kulitetea jimbo lako kwa miaka mingine tena 2025-2030 kama mwenyezi mungu atakujalia. Japo najua...
Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao.
Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil...
Mijadala ya JF inasaidia kuibua majina mapya yaliyojificha ila watendaji makini natumaini Mawaziri walioteuliwa watatumbuliwa sana kama kipindi kilichopita, lakini pia yawezekana ukiweka taarifa za unavyomfahamu Mbunge wako labda jalada lake litasogea karibu na mfalme kwa maandilizi ya vetting...
Mbunge alieteuliwa na Rais Magufuli mapema leo tayari amekula kiapo mbele ya Spika Ndugai kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Manya anatarajia kuapa tena baadae leo kuwa naibu waziri wa Nishati na madini.
Baada ya kuapa kama Mbunge, Prof. Manya alitoa neno la shukraan...
Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.
Maendeleo hayana vyama!
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?
Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako
Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'
Gharama za...
Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.
Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka.
Kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.