kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.
Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.
Huku majimboni pia kwa kuwa kampeni zao hazikuwa serious wananchi atutambui hata walituahidi nini maana wengi awakupata hata huo muda wakutoa ahadi.
Dkt. Bashiru wafukuze wabunge huko mjini waje wafanye kazi walizoomba, ukitupuuza wananchi atutakuwa na chakukufanya ila tutakuwa na chakuwafanya kama tulivyowafanya uchaguzi uliopita. Mlitudharau kwa miaka mitano, mlipokuja kuomba kura tukawakataa adharani hadi mkatumia nguvu ya dola kupata uteuzi badala yakuchaguliwa.
Jifunzeni kuheshimu walio wengi wenye shida kuliko kuwakumbatia wachache walioshiba.