mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania DPP Biswalo Mganga unalazimika kuwajibika kujiuzulu baada ya kumtoa "mahabusu" Nusrat Hanje gerezani akawe ghafla Mbunge

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Ndivyo ninavyolazimika kuianza "thread" yangu kutokana na sakata hili la kumwachia mahabusu Nusrat Hanje kinyume cha sheria na taratibu za nchi hii. Kama kweli nchi yetu inaendeshwa kwa utawala bora, DPP Biswalo Mganga analazimika kujiuzulu kutokana na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, kuna haja ya Spika Ndugai kumjibu Mbowe juu ya tafsiri halisi ya Katiba na Kanuni kuhusu kiapo cha mbunge?

    Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge. Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu na pia alikuwa mjumbe kwenye kamati ya kanuni amesema kanuni ile inakwenda kinyume cha katiba...
  3. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

    Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM, lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole anaitwa Riziki Lulinda . Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa Mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM vs Mbunge/ Waziri kipi ni cheo kikubwa?

    Naomba tu kuelimishwa uhusiano wa ukuu kati ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na mbunge/waziri kupitia CCM. Naingia ibadani Mungu awabariki sana. Maendeleo hayana vyama!
  6. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bw...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

    Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri. Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa. Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika. Mbowe ambaye ni...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020: 1. Halima Mdee 2. Grace Tendega 3. Ester Matiko 4. Cecilia Pareso 5. Ester...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Siyo lazima mbunge kuapa ndani ya Bunge lililo muhimu ni Mbunge kuapa mbele ya Spika!

    Spika wa bunge la JMT mh Ndugai amesema wananchi wasichanganye kwamba mbunge ni lazima aape akiwa ndani ya bunge, kanuni hazisemi hivyo. Kwa mujibu wa kanuni kama kuna kikao cha bunge kinachoendelea basi wabunge wapya wataapishwa ndani ya ukumbi wa bunge. Endapo mbunge atateuliwa wakati bunge...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ina mbunge halali aliyekwishaapa bungeni kwanini hawa wengine 18 inawazuia? Ushamba mzigo!

    Haiingii akilini kwa CHADEMA kuwa kimya kwa mbunge wake wa kuchaguliwa mh Aida wa Nkasi na kuwazuia wabunge wengine wa 19 wa viti maalumu wasiende kuapishwa. Ikumbukwe kuwa taarifa rasmi za bunge zinaonyesha CHADEMA imeshiriki vikao vya bunge na imempigia kura ya ndio Waziri mkuu mh Majaliwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

    Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha? Ni hako kaswali tu makamanda. Maendeleo hayana vyama!
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hebu nijulisheni uwiano gani umetumika kwa Chadema iliyoambulia mbunge mmoja iweze kupata viti maalum 19 na CCM iliyojizolea viti 262 kupata viti 94?

    Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti 262, karibia ya viti vyote vya ubunge nchini, iweze kupata viti maalum 94? Kuuliza siyo ujinga...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

    Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe. Chanzo: Channel ten My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!! Maendeleo...
  15. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, ninaweza kuomba kuteuliwa na Rais kuwa Mbunge?

    Kuna jambo ambalo ninaliwaza. Najua kwamba Mheshimiwa Rais anazo nafasi kumi za uteuzi wa wabunge kikatiba.Najua pia kwamba anao uhuru wa kuteu mtu yeyote kwa nafasi hizo bila kuulizwa.Katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa JPM kuna mambo kadahaa ambayo nimeyaona ambayo kama angekuwa na...
  16. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

    CHADEMA ambayo ilikuwa inanufaika na ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 328 kwa mwezi imejikuta katika hali mbaya baada ya ''Mtaalam wa sheria'' kuwaaminisha wanaCHADEMA kuwa anakwenda siyo kuifanya ipate ruzuku zaidi bali pia kuifanya iingie Ikulu. Baada tu ya kuwaaminisha, kelele zikawa kila...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyetaka kushindana na Ndugai aenguliwa, yeye si mbunge

    Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema amemuengua Bonaventura Peter Ndekenja wa chama cha NRA aliyemtumia baruapepe akieleza nia yake ya kutaka kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu yeye si mbunge. “Yeye si mbunge hivyo chama chake kilipaswa kuwasilisha jina lake...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana. ======= Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

    Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake. Hongera Sana
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
Back
Top Bottom